Nimejifunza nchi kama China na USA japo ghost town ni ngumu kuzibiti

California ina watu milioni 40, jimbo linalofuatia Marekani ni Texas watu milioni 30, Linalofuatia ni Florida milioni 20.
Canada inaweza kushawishi(sio kupangia) watu waende maeneo fulani kwa sababu serikali inahakikisha miundombinu na huduma zote muhimu zinapatikana. SpaceX ilinunua ardhi, Musk alihamishia Texas kutoka California kwa sababu za kisiasa na kodi.
 
Vyuo kwanza ,na maeneo ya kimkakati kama mipaka .Au we ni mbunge ukajiwekeee nyota bungeni
Vyuo vina mchango mdogo sana kukuza mji, kinachokuza mji ni biashara na viwanda.
Singida kuna chuo lakini mji wa kawaida tu
 
Vyuo vina mchango mdogo sana kukuza mji, kinachokuza mji ni biashara na viwanda.
Vyuo ni kama msingi wa walikuja.Kumbuka USA wazinduzi walitokea sio kwao walikuwa sehemu ya vyo na leo ndio maeneo ya chuo
 
Vyuo ni kama msingi wa walikuja.Kumbuka USA wazinduzi walitokea sio kwao walikuwa sehemu ya vyo na leo ndio maeneo ya chuo
Tanzania ya sasa hivi inahitaji VETA zaidi, vyuo vikuu vilivyopo vinatosha, kinachotakiwa ni uboreshaji zaidi tu.
 
Mchango mkubwa wa serikali katika maendeleo ya miji ni kuweka miundombinu ya barabara, reli, hospital, umeme, maji na sera zinazokuza biashara. Kama mji utakuwa na haya yote ukashindwa kuendelea ni kuachana nao tu, muda wake unakuwa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…