The choosen one
Senior Member
- Dec 6, 2021
- 199
- 253
Tofautisha mikopo ya matajiri, Level za kina dangote hakopi kwa kuwa hana fedha, kuna financial intelligence huwa zinawafanya matajiri wakope ili kuendesha mambo yao na sio kwamba wamepungukiwa hela πBila kukopa Dangote asingejenga kiwanda cha Cement Mtwara
JamanπΉππΎNilikua natafuta hii comment π
Kasimu na wenzako...Hili nalo mkalitizame
Ulichukua sh ngapi?Uzi umenifikia too late,pengine kama ningekutana na wewe mapema nisingefikia huku,mkopo unaofaa ni ule usiozidi miaka 3
Ndio elimu niliyoitoa hapo maana yake kopa ila kopa kwa faida, yaan mfano ukikopa million 100 basi jua hio million 100 itakuingizia million 500 ndani ya muda fulani, kukopa gari sio vibaya swali ni kwamba analitumiaje hilo gari kurudishia pesa ya mkopo? Unaelewa hapo sijuiTofautisha mikopo ya matajiri, Level za kina dangote hakopi kwa kuwa hana fedha, kuna financial intelligence huwa zinawafanya matajiri wakope ili kuendesha mambo yao na sio kwamba wamepungukiwa hela π
Hio Passo itarudishaje pesa ya huo mkopo au ndio utaanza kuishi na mateso ya kulipia mkopo?Ila mi lazima nichukue mkopo nimbless mzee wangu hata na Passo
ππ safari kwa mwalimu ni ngumuSeriously, kukopa ili kununua gari ni risk.
Kutegemea na mkoa aliopo inawezekana hata swala la bolt haliwezekani.
Kinachotokea ndiyo unakuta mtu kila training anataka aende yeye. Yupo kwenye hiyo training inakuja nyingine analazimisha aunge training mbili huko huko.
Kila safari anaitolea macho. Kazi kukimbizana na madokezo tu.
Sasa walimu mna hata madokezo? Training? Na si ndo mafunzo yenu yale mnalipwa buku tatu?
Yaani mtu akope m 10 mfano akafanya jambo halafu uwe naye level moja na wewe unasubiri 600k kwa mwezi???Mwaka wa 7 kazini sasa na sijawahi hata kufikiria mambo ya mikopo.
Wengi wa staffs wenzangu waliochukua mikopo kwa mambo mbalimbali, hakuna walilofanikisha, tuko nao level moja, ila wao stress ya mikopo inawatesa.
Kuna Theory inasema hiviii: "99% ya employees huwa wana idea ya ujasiriamali pindi wanapoajuriwa, na wengi huingia kwenye ujasiriamali. Lakini ni 1% tu ndiyo hufanikiwa kujikwamua kiuchumi".
Bonge la wazoMimi hua simshauri mtu akope bank bora ukakope saccos ya kazini kwenu
Kama miaka yote saba ujakopa, na bado hauna nyumba kali na ipo location ya maana, na huna gari basi na wewe inabidi tukuchunguze pia.Mwaka wa 7 kazini sasa na sijawahi hata kufikiria mambo ya mikopo.
Wengi wa staffs wenzangu waliochukua mikopo kwa mambo mbalimbali, hakuna walilofanikisha, tuko nao level moja, ila wao stress ya mikopo inawatesa.
Kuna Theory inasema hiviii: "99% ya employees huwa wana idea ya ujasiriamali pindi wanapoajuriwa, na wengi huingia kwenye ujasiriamali. Lakini ni 1% tu ndiyo hufanikiwa kujikwamua kiuchumi".
Umeulizwa swali moja zuri sana.Kimaendeleo ukoje mkuu? Natamani sana kujua kwa miaka saba upo kazini na hukopi hata mia, umewezaje kupiga hatua za kimaendeleo?
Sio woteIla walimu kuna nati hazijakaza vizuri vichwani mwao πΉπΉπΉ
mkeka nimeuelewa mkuu, ila hapo kwenye 4.5 ndo hujafafanua vizuri. hii 4.5 ina nini cha kufanya na kulipa mkopo twice???Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha.
Mambo haya huwa yanawakumba sana watumishi wa serikali, hasa walimu. Watumishi wa sasa wengi wanatamani kuishi maisha ya ndoto zao, kama kumiliki nyumba nzuri, kuwa na magari, kuwa na miradi ya kuongeza kipato kama mashamba na fremu za biashara.
Kutokana na kuwa na mishahara ya wastani huku wengi wao wakiwa na extended family, hushindwa kujizuia na msukumo wao wa ndani wa kutaka kulazimisha mambo bila kujali wataathirika vipi.
Mfano, kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni mtumishi wa serikali (mwalimu) alitaka kununua Toyota IST kwa bei ya Shilingi milioni 14. Alikuwa na Shilingi milioni 6 na alihitaji kukopa benki kiasi cha Shilingi milioni 10 ili aweze kukamilisha manunuzi yake.
Kwa sasa, karibu kila benki inatoza riba ya asilimia 16. Jamaa alishawishiwa achague muda mrefu wa malipo ili alipe kidogo kidogo, akaingia mkenge.
Kitu ambacho hakujua ni hiki: (72 Γ· riba), yaani (72 Γ· 16) = 4.5. Mkopo wowote kwa riba hiyo ukifika miaka 4.5 na kuendelea, utalipa mara mbili ya kiasi ulichokopa. Hivyo, kama alichukua milioni 10, atalipa milioni 20.
Sasa mwenzangu alichukua mkopo wa miaka 6 ili awe analipa Shilingi 300,000 kila mwezi. Aliposanuliwa kwamba atalipa mara mbili ya alichokopa, alichoka sana maana ilikuwa too late.
Hivi ninavyoandika haya, hana hamu ya kuendesha gari hilo, kwani anategemea mshahara pekee na gari halimuingizii pesa, bali linahitaji gharama za mafuta na matengenezo mbalimbali.
Watumishi mkumbuke kuwa serikali imewaajiri wenyewe, haijaajiri matumizi yenu.
Kwa haraka, pato lako kwa siku ni Shilingi 20,000. Hivyo, chunga matumizi yako, usijitumbukize kwenye mzigo wa madeni bila mpango.
Hii tabia ya kupangiana maisha imeanza lini?mkeka nimeuelewa mkuu, ila hapo kwenye
πππππ