Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,155
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaachana vizuri sana nishawah na rafiki mkewe alimkimbia akamwachia mtoto akiwa na miez 6 tu had leo binti ana miaka 14 hatujawah muona yule dada na hatujui yupo wapi....Nimekubali wazaz hawaachaniView attachment 2655016
Very rare casesWanaachana vizuri sana nishawah na rafiki mkewe alimkimbia akamwachia mtoto akiwa na miez 6 tu had leo binti ana miaka 14 hatujawah muona yule dada na hatujui yupo wapi....
Na dada yng aliolewa akiwa kwny ndoa mumewe akaanza umalaya akakimbia nyumba kabisa mtoto akiwa na mwaka tu hajawah rudi mtoto hata hajui baba ake yupoje had leo
Wanaachana vizuri sana nishawah na rafiki mkewe alimkimbia akamwachia mtoto akiwa na miez 6 tu had leo binti ana miaka 14 hatujawah muona yule dada na hatujui yupo wapi....
Na dada yng aliolewa akiwa kwny ndoa mumewe akaanza umalaya akakimbia nyumba kabisa mtoto akiwa na mwaka tu hajawah rudi mtoto hata hajui baba ake yupoje had leo
Bora umemueleweshaNafikir labda haujamuelewa ishu iko hv...yn inapotokea wakawa pamoja either kwa kutimiza majukumu ya mtto au kwa shughuli nyingne lazima watakumbusha enzi tu....
Duh....Hapana siezi kutana na Ex tukakaa ka tumbili.. lazima viunoo vipige chafyaaaa chafyaaa tukitoka apo taonana mwakani
Aisee..Ukisikia kupasha kiporo ndio hiyo. Hata kama waliparangana wakaachana na kupeana talaka ipo siku hasira zao zitaisha wakikutana watapeana mapenzi mazito. We uliooa single mother unatakiwa kufahamu umeoa mke wa mtu, vumilia siku ukiona jamaa anatuma matumizi kwa mtoto wake ujue huyo mama atapokea na akiombwa shoo atatoa bila kinyongo. Hutaweza kumbana asikutane na msela wake wa zamani kwa ajili ya watoto wao. Ukute jamaa anakata mpunga mrefu kuliko wewe utateseka sana, kama vipi vunga huoni na husikii ili uendelee kuishi na huyo single mother
Ili usiwe unapata tabu ya kung'amua,uwe unaangalia contexts."Mlinzi wa klabu ya Real Madrid" mimi nilijua security officer.
Tunaongelea ile mawasiliano yapo baina yao na mtoto anahudumiwa kama kawaidaWanaachana vizuri sana nishawah na rafiki mkewe alimkimbia akamwachia mtoto akiwa na miez 6 tu had leo binti ana miaka 14 hatujawah muona yule dada na hatujui yupo wapi....
Na dada yng aliolewa akiwa kwny ndoa mumewe akaanza umalaya akakimbia nyumba kabisa mtoto akiwa na mwaka tu hajawah rudi mtoto hata hajui baba ake yupoje had leo
HahahahahaahahahahaNi kweli, na saivi ndo kanenepa. Simuachi ng'oo