Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Dena Amsi nipo!! cku hizi ukiingia JF majukwaa ya kule juu lazima utatoka na ngeu kuna vijana wana hasira sana na UKAWA

Yaani ni hatari hakufai mie hata pua yangu siisogezi huko mie nacheza na hawa form six leavers
 
Last edited by a moderator:
weeeh, Paw wangu hajawahi kuchepuka. Kwanza tulioana wote tukiwa wapyaaaaa sealed. Na milele hadi kifo.
Kwa lugha za pwani, mke mwenza ni yule mliyeolewa kwenye familia moja.

Ahsantee.... nimejifunza maana ya mke mwenza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom