ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
waite wazee wakusaidie kuitafsiri ndoto hii labda uko usingizi
Duh! Huu uzee au? Mbona sielewi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Huu uzee au? Mbona sielewi?
Preta siku hizi umepotelea wapi?maana mji wenu hakuishi mabomu
charminglady inaelekea Arushawing ina matatizo makubwa sana siku hizi na ndo maana wamekimbia humu wengi Kimey mzima mkuu habari za kwako aise long time
Mi si muuaji.
and you chauro mbona mnajificha hivyo?
Dena Amsi.
Ahsante kwa kunikumbuka na imeni touch kuelewa kuwa nami nimo kwenye list ya "NIMEWAMISS SANA WAPENZI WA MTIMA WANGU".
Mwenyeezi Mungu akujaalie kila la kheri kwa kutupenda nasi twakupenda sana.
Pata dedication hii kutoka kwa "legend" Machaprala:
[video=youtube_share;Kvx1nkRi2mA]http://youtu.be/Kvx1nkRi2mA?list=PLA2FCC8E3D03 E3DBD[/video]
Preta huo sasa tunauita ubaguzi maana huko wasup mko wenyewe ndo maana na mimi naulizaMkuu naomba niweke clear hapo.....
Pande hii hakuna tatizo lolote.......ni nyakati tu zimetofautiana........na kipya kingine ni kwamba tupo karibu sana siku hizi..........whatsapp .......
Ila msababishi wa mauaji.
Preta huo sasa tunauita ubaguzi maana huko wasup mko wenyewe ndo maana na mimi nauliza
Usipotee hivyo bana hata kama uko Bashnet