Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

nahisi mtu huyu

jki.jpg

ndo aliyefanana ana yule aliyeleta matatizo hapa binamu Mr Rocky au nani tena?
 
Last edited by a moderator:
Preta siku hizi umepotelea wapi?maana mji wenu hakuishi mabomu

Nipo my dear.......kwanza habari yako binafsi.......siku hizi nimehamia Bashnet network inasumbua sana.........ila nipo nanyi daima.......
 
charminglady inaelekea Arushawing ina matatizo makubwa sana siku hizi na ndo maana wamekimbia humu wengi Kimey mzima mkuu habari za kwako aise long time

Mkuu naomba niweke clear hapo.....
Pande hii hakuna tatizo lolote.......ni nyakati tu zimetofautiana........na kipya kingine ni kwamba tupo karibu sana siku hizi..........whatsapp 😝😝😝.......
 
Last edited by a moderator:
Bibie upo wapi wewe habari za masiku tele haya nijalie habari zako.
 
Dena Amsi mambo.....
Well....unanifanya nikutafute manually. ...
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi.

Ahsante kwa kunikumbuka na imeni touch kuelewa kuwa nami nimo kwenye list ya "NIMEWAMISS SANA WAPENZI WA MTIMA WANGU".

Mwenyeezi Mungu akujaalie kila la kheri kwa kutupenda nasi twakupenda sana.

Pata dedication hii kutoka kwa "legend" Machaprala:

[video=youtube_share;Kvx1nkRi2mA]http://youtu.be/Kvx1nkRi2mA?list=PLA2FCC8E3D03 E3DBD[/video]

Thanx my Dear me like ur comment na upeo I salute u no matter what ur the best for me lala salama Luv
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba niweke clear hapo.....
Pande hii hakuna tatizo lolote.......ni nyakati tu zimetofautiana........na kipya kingine ni kwamba tupo karibu sana siku hizi..........whatsapp .......
Preta huo sasa tunauita ubaguzi maana huko wasup mko wenyewe ndo maana na mimi nauliza
Usipotee hivyo bana hata kama uko Bashnet
 
Last edited by a moderator:
yani watu michepuko utawajua tu wanabwabwaja utafikiri wamekewa morta
wewe jana nimekwambia uifute ile kauli yako ya kusababisha mavifo hutaki
nitakupeleka kwenye court ujue aje mod kukupa power ya nguvu

Nasema futa kabla sijavaa joho la UKOMANDOO hapa

cc: Asprin, Kaizer hebu njooni mmsaidie mwenzenu huyu analeta mambo ya mwaka 47
Ila msababishi wa mauaji.
 
Last edited by a moderator:
binamu hebu msaidie huyu anayejiita nicas naona anataka kuharibu hali ya hewa
mjengoni hapa mambo yaliyopita ya ngoswe
yeye anayakumbushia sijui amewekea ndunguli
kwenye mikono yake wanassiem
Preta huo sasa tunauita ubaguzi maana huko wasup mko wenyewe ndo maana na mimi nauliza
Usipotee hivyo bana hata kama uko Bashnet
 
Back
Top Bottom