Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Naanza kama sijakutaja si kwamba sikupendi ila tecno yangu ni hasara tupu:

Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy afrodenzi Teamo Fidel80 Baba Enock Fixed Point Mzee wa Rula Preta paka Jimmy Dark City wise Lady MwanajamiiOne, RR aka Roya Roya Kimey The Finest Rutashubanyuma Maty Nyamayao Nyani Ngabu Rose 1980 [MENTION=11167]Bishanga Rejao Ritz faiza Foxy [/MENTION] Mzee mwenyewe Kaizer Chauro HusninyoEnnie Mr Rocky aka my Huby wengi mno wengine nitawataja kesho tunamalizia Idd kesho kazi msijisahau wapendwa eeh. NIMEWAMISS SANA WAPENZI WA MTIMA WANGU

Mimi naomba unitaje leoleo kabla hakujambazuka
 
Last edited by a moderator:
Hawa siku hizi wanaonekana kwa nadra sana ndani ya hili jukwaa na tumemiss changamoto zao na thread zao nzuri na michango yao kuliboresha jukwaa letu mko wapi aise Lizzy, Lily Flower, Preta, Husninyo, Blaki Womani, gfsonwin, Smile, sweetlady, snowhite, Zion Daughter, King'asti, Chauro, Chocs, mwallu, Angel Nylon, The secretary, Asprin, Bishanga wa bashaija, Erickb52, Baba V mvunja ndoa za watu, Arushaone king mswati wetu, Vin Diesel mzee wa penda penda, Fixed Point, Mkirua, The Finest mchungaji aliyekosa kanisa, AshaDii my sis miss you sana na wewe Dena Amsi siku hizi nyumbani hukai wewe kiguu na njia kila siku ndo maana mchepuko miss chagga anapata nafasi ya kutamba Kongosho miss you sana
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mimi bado nakunywa njoo ulipie bill

tumekumiss pia mpendwa
 
Sijui kwanini watajwa hapo juu ni member wa Arushawing??

What is wrong ArushaWing???

King Mswati Arushaone ufafanuzi tafadhali....
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi habari yako bana....longtyme aisee! Karibu JJ
 
Last edited by a moderator:
hahaha usijali mamito. huyo miss chagga wala hahitaji binduki. Tutampulizia doom tu atasanda.
Bora idd imekufukua huko ulikojificha. Ulimisika sana, karibu tena.

Umenionea mke mwenza sweetlady?
Dah nimeonaje aibu yaani wewe si wakukusahau aisee miss u my dear Kin
g'asti hebu niandali ile mashine gun kuna mtu anaitwa miss chagga anataka kuniharibia ndoa
 
Last edited by a moderator:
Hawa siku hizi wanaonekana kwa nadra sana ndani ya hili jukwaa na tumemiss changamoto zao na thread zao nzuri na michango yao kuliboresha jukwaa letu mko wapi aise Lizzy, Lily Flower, Preta, Husninyo, Blaki Womani, gfsonwin, Smile, sweetlady, snowhite, Zion Daughter, King'asti, Chauro, Chocs, mwallu, Angel Nylon, The secretary, Asprin, Bishanga wa bashaija, Erickb52, Baba V mvunja ndoa za watu, Arushaone king mswati wetu, Vin Diesel mzee wa penda penda, Fixed Point, Mkirua, The Finest mchungaji aliyekosa kanisa, AshaDii my sis miss you sana na wewe Dena Amsi siku hizi nyumbani hukai wewe kiguu na njia kila siku ndo maana mchepuko miss chagga anapata nafasi ya kutamba Kongosho miss you sana
hivi kuna mtu yupo sana hapa kuliko mimi? tafadhali
 
Back
Top Bottom