Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameen..
nimemiss ile kitu..nilikua nimekabwa
I understand..njoo wozap
hahaha usijali mamito. huyo miss chagga wala hahitaji binduki. Tutampulizia doom tu atasanda.
Bora idd imekufukua huko ulikojificha. Ulimisika sana, karibu tena.
Umenionea mke mwenza sweetlady?
Smile, mwali. Wako wapi hawa?
mwallu sikuoni bana nakumiss ndio maana Kaizer una kesi ya kujibu wewe na Nicas Mtei na haijibiwi kwa maneno tuu ila kwa chupa kadhaa za ndyofu
I understand..njoo wozap
mwallu sikuoni bana nakumiss ndio maana Kaizer una kesi ya kujibu wewe na Nicas Mtei na haijibiwi kwa maneno tuu ila kwa chupa kadhaa za ndyofu
Najilipua soon na nakusubiria sana Nicas Mtei mwambie na Kaizer hapo
Najilipua soon na nakusubiria sana Nicas Mtei mwambie na Kaizer hapo
Una faini kubwa sana bazaz gani hufati code of conduct? Tutakutoa uanachama ujue...uone kama miss chagga utamwona tena
Cc Nicas Mtei
Naanza kama sijakutaja si kwamba sikupendi ila tecno yangu ni hasara tupu:
Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy afrodenzi Teamo Fidel80 Baba Enock Fixed Point Mzee wa Rula Preta paka Jimmy Dark City wise Lady MwanajamiiOne, RR aka Roya Roya Kimey The Finest Rutashubanyuma Maty Nyamayao Nyani Ngabu Rose 1980 Bishanga Rejao Ritz faiza Foxy Mzee mwenyewe Kaizer Chauro HusninyoEnnie Mr Rocky aka my Huby wengi mno wengine nitawataja kesho tunamalizia Idd kesho kazi msijisahau wapendwa eeh. NIMEWAMISS SANA WAPENZI WA MTIMA WANGU