Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuna mtu yupo sana hapa kuliko mimi? tafadhali
Upo wewe? Salama lakini?
charminglady inaelekea Arushawing ina matatizo makubwa sana siku hizi na ndo maana wamekimbia humu wengi Kimey mzima mkuu habari za kwako aise long time
Acha tu... bado mitaa ya rock city?nipo best naona sasa sijui majukumu yametuzidia
kweli old is gold
oh! mwenzangu mambo ya pwani nayajulia wapi Mmisheni mimi?weeeh, Paw wangu hajawahi kuchepuka. Kwanza tulioana wote tukiwa wapyaaaaa sealed. Na milele hadi kifo.
Kwa lugha za pwani, mke mwenza ni yule mliyeolewa kwenye familia moja.
I am humbled rafiki..... hope upo powaIla mimi nakumiss Fixed Point ndo maana nikakutaja aise
I am humbled rafiki..... hope upo powa
Am coming chap chap sana aisee...upo baa gan?🙄🙄
Yupooooo
Tulikumiss pia.........
yaani kila nikimwona Baba_Enock huwa nakukumbuka......
hahaha usijali mamito. huyo miss chagga wala hahitaji binduki. Tutampulizia doom tu atasanda.
Bora idd imekufukua huko ulikojificha. Ulimisika sana, karibu tena.
Umenionea mke mwenza sweetlady?
Mara ya mwisho nilimuona njia panda ya machame..ngoja nicheki na muuza maparachichi pale njiani rafiki
cum withiut paking hadi kwa mromboo
miss u much
Na watu wote waseme ameeen