Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Naanza kama sijakutaja si kwamba sikupendi ila tecno yangu ni hasara tupu:

Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy afrodenzi Teamo Fidel80 Baba Enock Fixed Point Mzee wa Rula Preta paka Jimmy Dark City wise Lady MwanajamiiOne, RR aka Roya Roya Kimey The Finest Rutashubanyuma Maty Nyamayao Nyani Ngabu Rose 1980 [MENTION=11167]Bishanga Rejao Ritz faiza Foxy [/MENTION] Mzee mwenyewe Kaizer Chauro HusninyoEnnie Mr Rocky aka my Huby wengi mno wengine nitawataja kesho tunamalizia Idd kesho kazi msijisahau wapendwa eeh. NIMEWAMISS SANA WAPENZI WA MTIMA WANGU

Baadaye tuonane Delington nikuleweshe.
 
Last edited by a moderator:
mekumithi pia, pilau langu la skukuu lipo wapi? ntumie kwa EMS.
 
Hawa siku hizi wanaonekana kwa nadra sana ndani ya hili jukwaa na tumemiss changamoto zao na thread zao nzuri na michango yao kuliboresha jukwaa letu mko wapi aise Lizzy, Lily Flower, Preta, Husninyo, Blaki Womani, gfsonwin, Smile, sweetlady, snowhite, Zion Daughter, King'asti, Chauro, Chocs, mwallu, Angel Nylon, The secretary, Asprin, Bishanga wa bashaija, Erickb52, Baba V mvunja ndoa za watu, Arushaone king mswati wetu, Vin Diesel mzee wa penda penda, Fixed Point, Mkirua, The Finest mchungaji aliyekosa kanisa, AshaDii my sis miss you sana na wewe Dena Amsi siku hizi nyumbani hukai wewe kiguu na njia kila siku ndo maana mchepuko miss chagga anapata nafasi ya kutamba Kongosho miss you sana

Nipo best, nilikuwa sijui kama utu uzima dawa.
 
teamrafiki fomu.jpg
Huyu ni Myunani hatushangai
 
Back
Top Bottom