Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

Hawa siku hizi wanaonekana kwa nadra sana ndani ya hili jukwaa na tumemiss changamoto zao na thread zao nzuri na michango yao kuliboresha jukwaa letu mko wapi aise Lizzy, Lily Flower, Preta, Husninyo, Blaki Womani, gfsonwin, Smile, sweetlady, snowhite, Zion Daughter, King'asti, Chauro, Chocs, mwallu, Angel Nylon, The secretary, Asprin, Bishanga wa bashaija, Erickb52, Baba V mvunja ndoa za watu, Arushaone king mswati wetu, Vin Diesel mzee wa penda penda, Fixed Point, Mkirua, The Finest mchungaji aliyekosa kanisa, AshaDii my sis miss you sana na wewe Dena Amsi siku hizi nyumbani hukai wewe kiguu na njia kila siku ndo maana mchepuko miss chagga anapata nafasi ya kutamba Kongosho miss you sana

Nipo binamu.Nalea mwendhio lakini huwa nachungulia tu humu vituko vya kina dotcom na fesibuku
 
Last edited by a moderator:
Nipo binamu.Nalea mwendhio lakini huwa nachungulia tu humu vituko vya kina dotcom na fesibuku

Afadhali binamu umeonekana bana
Naamini unaendelea na malezi vyema
Usipotee hivyo binamu yangu Zion Daughter

Kaizer acha fujo basi

Ameshaacha huyo kijana sijui alipata ndyofu mchana huu

Kaizer acha fujo uunasida gani? mbona ujiamini hata kidogo?

Msamehe bure hana makosa ndyofu ndio zinaongea
cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom