Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

Katoto ka afu 2 sasa hivi kana miaka 25, sio katoto, kwa haraka haraka katakuwa na miaka ya experience kati ya 7 mpaka 8

Ila mishangazi wana mbingu ya pekee yao. Hivi vitoto mie siviwezi.
Daaaah we jamaa wewe 😁😁
 
Ooh pole kwa raha iliyo fanya ulie..
Na 2000 akakubembelezaaaaaa

Ukajisikia upo cloud 9, kama kijana wa umri wake I guess 🤣🤣🤣

Ilikuwaje Mzee wewe ukadata?
😁😁😁😁😁 Coco nakukaribisha leo huku gomzi ....
Kutakua na hatarrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…