Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Mkuu nakupa storyline soon hapaAisee hongera sana ndugu Poor Brain hao watoto wana hatari sana.
Ungetuelezea story kidogo tu ya hiyo movie ingesaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakupa storyline soon hapaAisee hongera sana ndugu Poor Brain hao watoto wana hatari sana.
Ungetuelezea story kidogo tu ya hiyo movie ingesaidia
Daaaah we jamaa wewe 😁😁Katoto ka afu 2 sasa hivi kana miaka 25, sio katoto, kwa haraka haraka katakuwa na miaka ya experience kati ya 7 mpaka 8
Ila mishangazi wana mbingu ya pekee yao. Hivi vitoto mie siviwezi.
Yaaan yule mtoto aliyekua ndani ya fensi anavoongea...Nimeichek hii move hebu niambie kijana kilichokuliza ni nin haswa??
Mi ndo nimelia hata wewe ushawahi kuliamwanaume unaliaje kisa movie?
😁😁😁😁😁 Coco nakukaribisha leo huku gomzi ....Ooh pole kwa raha iliyo fanya ulie..
Na 2000 akakubembelezaaaaaa
Ukajisikia upo cloud 9, kama kijana wa umri wake I guess 🤣🤣🤣
Ilikuwaje Mzee wewe ukadata?
Hata ukitaka nikutumie chap tuuNkiwa free ntaicheki
Jin lake ni hilo hilo children in pajamasMkuu nipe jina la hiyo movie na mimi nilie kidogo.
DsaahWTF? 2000?
2000 wengine tulikua tunafanya rap battles tunapiga maverse akina big punisher, Tupac, biggie, ice t, ice cube ...
Hapo sawa, nikiangalia nitakupa mrejesho.Jin lake ni hilo hilo children in pajamas
Huyo mshamba mshamba tuuu 😁😁😁Ulijikuta tu unabubujikwa na machozi kama Lucas Mwashambwa 😃😃
NtumieHata ukitaka nikutumie chap tuu
Mkuu kwanza huyu mtoto sio wa level za watoto wa tzAmini nakwambia hako katoto hakataweza kukupa mambo mazuri kama ya mashangazi, UTARUDI TU
Wewe kumbe kichwani una matopeNakazia. Mishangazi.. ina A+
Kuwa makini mkuu usije lia mbele ya mtu wako wa karibuHapo sawa, nikiangalia nitakupa mrejesho.
Ahahahhaa una machozi ya karibuMovies za kulia hapana.
Sawa mkuu soonNtumie
Ahahaha, siwezi fanya hivyo.Kuwa makini mkuu usije lia mbele ya mtu wako wa karibu