Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Nimejikuta nawakumbuka watu waliopotea kisa kusema ukweli na kukemea maovu kama kina Polepole.

Nauhakika wengi kama sio wote wameshauawa na hatutawaona tena.'Mungu awapokee katika ufalme wale Amen'

Mungu katupa ujumbe kwa wote waliohusika.Katika kitabu cha Mwanzo 9:6,Mungu alifanya agano na binadamu kwamba atakayemwaga damu ya binadamu naye yakwake itamwagwa na binadamu.Hii ni hatma ya wauaji wote waliohusika na ni hii ni Agano lazima itimizwe kwani damu za hao watanzania wenzangu zinamlilia Mungu.

Tena Mungu akaweka ishara ya upinde wa mvua ili alikumbuke hii moja ya Agano daima.Kwa wauaji wote Agano la Mungu lazima zitimizwe.kwa sababu damu zao na machozi yetu kamwe hazitaacha kumkumbusha Mungu.

'RIP all comrades msiache kumuomba Mungu huko mlipo ili Agano lake litimie dhidi ya wauaji'
 
images (49).jpeg
 
Huyo Polepole wako angekuwa msema kweli, uo ukweli wake si angesema kipindi cha Magufuli ambae ndie muhasisi wa Utekaji, Utesaji na Mauaji!.
 
Huyo Polepole wako angekuwa msema kweli, uo ukweli wake si angesema kipindi cha Magufuli ambae ndie muhasisi wa Utekaji, Utesaji na Mauaji!.
Aliamua kusema ukweli baada ya kuona maovu yameongezeka na akaomba msamaha kwakuwa alikuwa sehemu ya mambo yote zamani.Alitubu na kuamua kusema ukweli.
 
Back
Top Bottom