Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

Hao hawapo hai tena tusidanganyane
Wameuwawa

Hii ya free fulan Mara fulan ni slogan ya kutupoza tusi riot zaid tujue wako hai kumbe noo

Britanicca
Huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza tujiulize: wakikaa nao muda wote halafu wakija kuwaachia si ndiyo watakuwa wanajichongea kabisa kuwa wao ndiyo watekaji? Yes, hata sasa hivi kila mtu anajua ni wao lakini bado wana ka-asilimia kidogo kwa-kukana. NB: Kuna ile habari ilitoka mara baada ya Polepole kutekwa, source ikiwa chombo cha habari kutoka nje ya nchi kuwa alifariki, ilikuwa ni habari ya kweli kutoka source ya kuaminika ndani ya serikali. Hata Mdude inaonekana aliua pale pale nyumbani kwa kupigwa na chuma kichwani na kwenda kuzikwa/kutupwa usiku huo huo. Ila bado nina imani kuwa ukweli utakuja kujulikana siku moja. Hata likitokea la kutokea akaingia makamu kushika usukani atafunua mambo mengi.
 
Kwa damu mliozoona pale kwa Polepole sio rahisi kuwa hai uwezekano wa kua aliuwawa palepale ni mkubwa zaidi hata hawakupata nafasi ya kumhoji ndio maana walienda kupasua vitu ovyo pale kwenye nyumba.
 
Huyo Polepole wako angekuwa msema kweli, uo ukweli wake si angesema kipindi cha Magufuli ambae ndie muhasisi wa Utekaji, Utesaji na Mauaji!.
Polepole àlikuwa mnafki sana although hakuna anayesupport utekwaji wake ila anavuna kile alichokikalia kimya wakati wa magufuli ilihali alikuwa mtu wa karibu sana wa magufuli
 
Huu ndiyo ukweli mchungu. Kwanza tujiulize: wakikaa nao muda wote halafu wakija kuwaachia si ndiyo watakuwa wanajichongea kabisa kuwa wao ndiyo watekaji? Yes, hata sasa hivi kila mtu anajua ni wao lakini bado wana ka-asilimia kidogo kwa-kukana. NB: Kuna ile habari ilitoka mara baada ya Polepole kutekwa, source ikiwa chombo cha habari kutoka nje ya nchi kuwa alifariki, ilikuwa ni habari ya kweli kutoka source ya kuaminika ndani ya serikali. Hata Mdude inaonekana aliua pale pale nyumbani kwa kupigwa na chuma kichwani na kwenda kuzikwa/kutupwa usiku huo huo. Ila bado nina imani kuwa ukweli utakuja kujulikana siku moja. Hata likitokea la kutokea akaingia makamu kushika usukani atafunua mambo mengi.
Huu ndo ukweli mchungu wakimuachia polepole au mdude nyagali sahivi itakuwa ni aibu kwao kwa hiyo option iliyobaki ni kumaliza nao

Siumeona sativa watekaji alivyoshindwa mission na jinsi alivyowapaka matope haswa
 
Ni lini Polepole amewai kuwaomba watanzania msamaha Ugaidi alioufanya Magufuli na yeye akiwemo kama sehemu ya Ugaidi uo?
Mimi binafsi sikumbuki siku aliyoomba msamaha, sana sana alikuwa anatumia kila njia kumshafisha magufuli alitaka kutufanya sisi watoto ilihali wakati wa utawala wa magufuli tulikuwa na akili timamu
 
Back
Top Bottom