Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Ajenda ya Polepole ilikuwa Samia asigombee uraisi. Hakuwa na haja ya mabadiliko wala katiba nzuri.
Unaijuwa V8 wewe?
Unaijuwa V8 wewe?
Kama agenda yake ndo hiyo alikuwa sahihi si umeona mwenyewe gharama ya utawala wa Samia?watanzania zaidi ya elfu 10 walipoteza maisha.Ajenda ya Polepole ilikuwa Samia asigombee uraisi. Hakuwa na haja ya mabadiliko wala katiba nzuri.
Unaijuwa V8 wewe?
Weka Clip hapa.Kuna siku kwenye speech yake alisema alikuwa sehemu ya uozo mwanzoni akaomba msamaha.
Mimi Polepole aliponichosha ni pale aliposema magufuli alitaka kuanza mchakato wa katiba mpya mwaka 2024 nikajua ni walewale sababu angekuja Rais mwingine 2025 akasema haujui huo mchakato wa katiba kama alivyosema magufuli 2015 baada ya kushinda urais kwamba hakuahidi katiba mpya kwa hiyo haimuhusuAjenda ya Polepole ilikuwa Samia asigombee uraisi. Hakuwa na haja ya mabadiliko wala katiba nzuri.
Unaijuwa V8 wewe?
Na siyo Polepole tu. Wako wengi. Huenda anajifariji kuwa kwa sababu siyo yeye aliyewaua kwa mkono wake basi hana hatia kumbe ni sivyo.
Sababu gani inahalalisha mauaji yake?Mimi Polepole aliponichosha ni pale aliposema magufuli alitaka kuanza mchakato wa katiba mpya mwaka 2024 nikajua ni walewale sababu angekuja Rais mwingine 2025 akasema haujui huo mchakato wa katiba kama alivyosema magufuli 2015 baada ya kushinda urais kwamba hakuahidi katiba mpya kwa hiyo haimuhusu
Wataona matokeo ya maovu yao.Samia ni mwanamke katili sana yaani mkavuuu utafikiri siyo yeye
Hakuna sehemu nimehalalisha utekaji wa Polepole ila tunajaribu kukuambia polepole alivuna alichopandaSababu gani inahalalisha mauaji yake?
Ndo maana akaja kukemea maovu na kutubu kwa sababu aliona alichoshiriki kujenga sio mambo mazuri na yalizidi mara 10 kipindi cha Samia.Hakuna sehemu nimehalalisha utekaji wa Polepole ila tunajaribu kukuambia polepole alivuna alichopanda
Hata kama muasisi wa mauaji alikuwa Magufuli kuendelea kuua kwa kisingizio mbona fulani aliua nadhani adhabu yako itakuwa mara mbili zaidi ....je unadhani kila anaekukosoa adhabu ni mauti ??? Mtaua wangapi ? Maana kila siku ndiyo wanazidi tu kuchipuka .... ila damu ya mtu haijawahi kupotea bule .WEWE unaendelea kuona ni sawa tu . Na mimi nasema tu sawa ila yuko Mungu wa mbinguniHuyo Polepole wako angekuwa msema kweli, uo ukweli wake si angesema kipindi cha Magufuli ambae ndie muhasisi wa Utekaji, Utesaji na Mauaji!.
Kipindi cha kikwete haukuwepo uliza kuhusu kina ulimbokwa na waandishi waliouawa Nk.mauaji hayafai hata kwa awamu yoyote ila mauaji ya awamu hii yametia fora.Huyo Polepole wako angekuwa msema kweli, uo ukweli wake si angesema kipindi cha Magufuli ambae ndie muhasisi wa Utekaji, Utesaji na Mauaji!.
NdiyoUtawala wa Sheria umeshakufa nchi hii.
SawasawaAgano la Mungu litatimia kupitia mikono yetu watu tunaokataa kukubali dhuluma.
Mkuu habari za tesha zipoje? Huyo ndie ninae tamani arudiHao hawapo hai tena tusidanganyane
Wameuwawa
Hii ya free fulan Mara fulan ni slogan ya kutupoza tusi riot zaid tujue wako hai kumbe noo
Britanicca
Amen wameny'ang'any'wa haki yao ya kuishi na watu wanaojifanya miungu watu ambao wanasahau kuwa Mungu amewekq agano kuwa damu hulipwa kwa damu.Deusdedith Soka, Mdude Nyagali na wengineo Mungu awape pumziko jema kama kweli wametangulia
Fingers crossed.Kama walikuwa na ujasiri wa kuua watu wengi vile Ot29 ndiyo washindwe kuwaua hao