Nimejikuta nimewakumbuka watu waliotekwa (kina Polepole)

Kelele za kaka na mama yake polepole mbona hazisikiki tena? Huenda wanajua alipo au walilazimishwa kukaa kimnya
 
Kwa damu mliozoona pale kwa Polepole sio rahisi kuwa hai uwezekano wa kua aliuwawa palepale ni mkubwa zaidi hata hawakupata nafasi ya kumhoji ndio maana walienda kupasua vitu ovyo pale kwenye nyumba.
Mwamba nae aliishi kizembe unakisa hata mguu wa kuku kiunoni kweli ?
 
Mwamba nae aliishi kizembe unakisa hata mguu wa kuku kiunoni kweli ?
Anaweza kuwa alikua na silaha ila kwa uharibifu ule pale alitumiwa kikosi kisichopugnua watu 10+ hivyo sio rahisi kuwamudu.

Na wanasema ile nyuma walianza kwanza kuizima umeme.
 
Labda niulize watu kama hawa wanawauwa vifo vya aina gani? Risasi au
Mateso tuu, just imagine kuvuja kote damu kule kwa mdude na hakupelekwa hosp yoyote...samuya utalipolia damu za watekwaji woote bila kumsahau pole2!.
Ww hukustahili kbs kuwa rais maana UWEZO wako ni mdogo mnooo!!.
 
Anaweza kuwa alikua na silaha ila kwa uharibifu ule pale alitumiwa kikosi kisichopugnua watu 10+ hivyo sio rahisi kuwamudu.

Na wanasema ile nyuma walianza kwanza kuizima umeme.
Hata kama wavunje mlango wa kwanza waingie ndani wavunje mlango wa chumbani bado sijajihami tu wewe zile damu huenda lbd alijeruhi mmoja wao
 
Hata kama wavunje mlango wa kwanza waingie ndani wavunje mlango wa chumbani bado sijajihami tu wewe zile damu huenda lbd alijeruhi mmoja wao
Inaweza kuwa hivyo zote zinabaki ni imaginations tu.
 
WANAMTANDAO wamemuua Polepole
 
Pole pole hakupaswa kuwa Tanzania na kuongea mambo yote yale.

Hii nchi inaongozwa na Mabucha.
 
Pale aliposema ukiwa na Nida tuu tayari umemchagua mgombea wa kijani sina hamu nao mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…