Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Ee MUNGU ikiwa ni vyema kwako, agano hilo litimie kwa kufuata ngazi mmoja baada ya mwingine!Nimejikuta nawakumbuka watu waliopotea kisa kusema ukweli na kukemea maovu kama kina Polepole.
Nauhakika wengi kama sio wote wameshauawa na hatutawaona tena.'Mungu awapokee katika ufalme wale Amen'
Mungu katupa ujumbe kwa wote waliohusika.Katika kitabu cha Mwanzo 9:6,Mungu alifanya agano na binadamu kwamba atakayemwaga damu ya binadamu naye yakwake itamwagwa na binadamu.Hii ni hatma ya wauaji wote waliohusika na ni hii ni Agano lazima itimizwe kwani damu za hao watanzania wenzangu zinamlilia Mungu.
Tena Mungu akaweka ishara ya upinde wa mvua ili alikumbuke hii moja ya Agano daima.Kwa wauaji wote Agano la Mungu lazima zitimizwe.kwa sababu damu zao na machozi yetu kamwe hazitaacha kumkumbusha Mungu.
'RIP all comrades msiache kumuomba Mungu huko mlipo ili Agano lake litimie dhidi ya wauaji'
Kivuli Kinaishi” ni tamthilia iliyoandikwa kwa kutumia dhana ya Giningi; makazi yaliyo ndani ya vichwa vya watu wa Unguja na Pemba na ambayo yanaogopwa sana na kuhusishwa na vitisho na hadithi kadhaa. Serikali ya Giningi yenye amri moja tu inaongozwa na Bi. Kirembwe akisaidiwa na wazee. Amali kuu ya Giningi imeonyeshwa kuwa ni ukatili na hivyo kanuni kubwa ni kujaribu kuwatoa watu kutoka dunia hii tuijuayo na kuwapeleka katika dunia ya siri, Giningi. Mwandishi amefaulu sana kutumia U-giningi katika kuchora picha fulani tata inayofanana na Giningi. Mhusika Mtolewa anadhihirisha mapambano ya kifikra yanayotokea kati ya wana-Giningi na Bi. Kirembwe na kuonyesha bayana mchezo huu unavyoambatana na ukweli wa maisha, na zaidi jinsi ulivyo mchezo wa wakati.
An injury to one is equal to the injury to allNimejikuta nawakumbuka watu waliopotea kisa kusema ukweli na kukemea maovu kama kina Polepole.
Nauhakika wengi kama sio wote wameshauawa na hatutawaona tena.'Mungu awapokee katika ufalme wale Amen'
Mungu katupa ujumbe kwa wote waliohusika.Katika kitabu cha Mwanzo 9:6,Mungu alifanya agano na binadamu kwamba atakayemwaga damu ya binadamu naye yakwake itamwagwa na binadamu.Hii ni hatma ya wauaji wote waliohusika na ni hii ni Agano lazima itimizwe kwani damu za hao watanzania wenzangu zinamlilia Mungu.
Tena Mungu akaweka ishara ya upinde wa mvua ili alikumbuke hii moja ya Agano daima.Kwa wauaji wote Agano la Mungu lazima zitimizwe.kwa sababu damu zao na machozi yetu kamwe hazitaacha kumkumbusha Mungu.
'RIP all comrades msiache kumuomba Mungu huko mlipo ili Agano lake litimie dhidi ya wauaji'
SureAn injury to one is equal to the injury to all
NdiyoPolepole alifanya kazi kubwa sana ambayo hakuna mwenye udhubutu wakufanya hivo wanaomchukia Polepole ni wezi au team mtandao
Bi Kilembwe na lichama lake wanalazimisha wote nyeusi tuiite nyeupe
Kuna anayejua yule mtoto Soka alikosea nini Mfumo?Hao hawapo hai tena tusidanganyane
Wameuwawa
Hii ya free fulan Mara fulan ni slogan ya kutupoza tusi riot zaid tujue wako hai kumbe noo
Britanicca