Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Hadisi hadisi....utamu njooo uwongo kolea......
Vijana mnajua kupoteza sana muda.
 
Well Sayed
 
Sorry story ni nzuri ila kaaa mbali na mke wa Mtu hata kama wanagombana au wametengana utakufa kabla ya wakati kwa tamaa ya mlo wa usiku. Kumbuka alikubali kuwa naye leo anasema mabaya yake huyo sio mke Bora hivyo take care... Usije sema hukuambiwa.
 
Huyo usimlaumu mama mkwe karoga mfarakano na Giza na nuksi ya kimavi ili mwanae awe upande wake asimpende mkewe. Inahitaji akili na maarifa ya kiroho pia kwenye maisha ya ndoa na tafsiri ya migogoro ya wana ndoa.

Kaka Mshana Jnr hebu jazia kidogo hapo
 
Hela unazo?
Kama huna huwezi kumtuliza huyo mwanamke
 
🚢
 
Madhara ya kumpendea mwanaume hela aendelee kupambana na Hali yake
 
We dogo umetembea namke wa mtu , unajipenda kweli? Na mume amekushtukia na yupo humu kaanzisha na thread, aisee nakusikitikia na nayasikitikia maisha yako.
 
Kama ni mke wako kweli ameliwa, nenda kwenye PM ya mlaji mmalizane huko.
Haya makelele unayopiga hapa hayasaidii chochote.

Endapo unataka umma ujue ukweli basi andika upande wa pili wa story tuweke kwenye mizani.
 
Hongera kwa kutoa funzo, lakini huyo tayari Ni make wa mtu....achana nae atakuletea matatizo
 
Kumbuka kutembea na KY ipo itakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…