Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

"....Amejaribu pia kufanya process za divorce zimeshindikana si unajua ni ndoa ya kikristo"

................

Hapa ndipo umedhihirisha ujinga wako. Kwa hiyo unadhani 'ndoa za Kikristo' hazina talaka?

Ndoa zote zina hadhi sawa. Na zote zina talaka.

Halafu achana na mke wa mtu. Unajua kabisa hawajaachana kwa talaka lakini bado unambandua
Mkuu umeniwahi nilichotaka kuandika yote kwa yote upo sahihi sana mangi, aika mbee 🙏
 
Habari Wakuu

Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje?

Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta kila mmoja anampenda mwenzake ingawa hatuambiana hisia zetu.

Baada kupita miezi kadhaa nikakubaliana nae tukutane ndipo tukakutana sehemu kila mmoja alikuwa anajua anapenda mwenzake so haikuwa na haja ya kumwaga sera zaidi kumjua mwenzake mazingira yake.

Yule manzi ndipo akafunguka kwangu kwamba yeye ameolewa sema ametengengana na Mumewe kutokana na migogoro fulani ila hakuniambia ni migogoro ipi au Mambo gani na akasema kwasasa hawapo pamoja yeye yupo kwao na Mumewe kwake akaniuliza je ungependa kuwa na mimi?

Binafsi nilishangaa sikuamini kwamba aliolewa ila kwasababu nimependa na ameshaniambia hayupo Tena na Mumewe nilikubali kuwa na mahusiano.Kwanza nilichopenda kutoka kwake ni kitendo chake Cha kuwa mkweli, ni manzi mzuri sana lakini pia tabia yake inanivutia alafu anaheshima ya hali ya juu.

Baada ya Muda kupita mahusiano yetu ya kawa moto, tukatengeneza chemistry nzuri na trust each other ndipo kidogo kidogo yule manzi akawa anafunguka mambo ya Mumewe yaliyomchosha aliniambia vitu vingi ila nitazungumza baadhi na mpaka akanioneshea picha ya Mumewe na kiukweli yule mtu nilikuwa namjua baada ya kunionesha binafsi nilistuka ila nikavunga kama simjui maana nakumbuka jamaa niliwahi kwenda kuomba kazi kwenye kampuni yake na kiukweli jamaa ana hela ile mbaya.

Kwanza akaniambia yule Manzi hana furaha ya ndoa yake lakini Namshukuru Mungu nimekupata wewe (Ambaye ni Mimi) amefufua furaha ambayo ilipotea akasema Mumewe hata tu bando tu hampi, mlevi Sana akisharudi anaigwa kipigo Cha mbwa koko, hata zawadi yoyote ile hajawahi kuumpa kama ninavyofanya mimi, anamfanyia udhalilishaji mkubwa analeta michepuko na analala nao kwenye kitanda ambacho yeye na Mumewe wanalala wote, anapelekwa kwa mama mkwe wake anafanyishwa makazi mengi ingawa anaumwa na kulala kwenye banda la mbwa na Mumewe yote hayo anaona na anasapoti n.k

Vitu alivyokuwa akaniambia yule Manzi dah inanifanya sometimes nisiamini cos yule Mumewe alivyo, ukwasi alionao inakuwa ngumu kuamini ni kaja kuamini siku ambapo huyo manzi alivyonialika kwao pamoja na marafiki zake siku ya christmas ambapo Mumewe alikuwa gafla bila taarifa na tukawa nae pale wakati wa chakula yule Manzi akawa atupelekea chakula bahati mbaya akadondoka na chakula alichokibeba kikadondoka na alichunika kidogo kwenye vidole vyake damu zikaanza kutoka cha ajabu yule Mumewe akaenda kumuwasha makofi mengi na kuanza kusema sisi wengine wote tunamshuhudia Tena si kwake kwa mama mkwe wake anafanya hivyo je angekuwa kwake ingekuaje?

Bahati nzuri siku Hilo Wazazi wa yule binti hawakuwepo.Nikaja kujua binti aliolewa na mtu sio sahihi ila kiukweli yule Manzi ni mtu na nusu yupo full package mzuri ile mbaya, anatabia nzuri binafsi ananipa upendo wa hali ya juu ni ngumu sana kumkuta binti mzuri alafu akawa wife material, ni mwanamke ambaye kwanza haombi ombi ovyo hela Ukiona kakuomba ujue ana shida haswa.

Nikaja kujua zaidi ni kwamba hata mwili wake si wake halisi ni kwasababu ya kukosa furaha, amani ndani ya ndoa yake maana baada ya kurudi kwao alininenepa kidogo,akawa ana shape kali na akawa mzuri sana tofauti kipindi yupo kwa Mumewe alikuwa mwembamba Sana, hana shape japo Mumewe ana hela Sana.

Ushauri wangu kwa wadada

Huyu mpenzi wangu si mlaumu kabisa kwanini kapata muwe wa aina hii kwasababu kaolewa akiwa mdogo, hajapitia mahusiano ya uboyfriend angalau ungempa uzoefu wa Wanaume huyo Mumewe ndio alimtoa bikra.

Amejaribu pia kufanya process za divorce zimeshindikana si unajua ni ndoa ya kikristo
tuje kwenye key point wadada msipende kukimbilia ndoa eti kwasababu ya maisha yamekupiga, pressure za ndugu au tu umepata fursa ya kuolewa bila kuangalia aina gani ya mwanaume unayeingia nae kwenye ndoa, Ndoa siku zote haina shida na bless ya MwenyeziMungu kuna vitu vingi vya msingi lazima uzingatie kabla hata ujakubali kuolewa na mtu

1. Je huyo mtu ana moyo safi?

2. Ana kuthamini?

3. Anakupenda?

4. Anakujali?

5. Anakuheshimu?

Shida ya wadada wengi wanateseka kwenye ndoa kwa kuangalia mambo kwa tamaa zao binafsi anaangalia material things bila kujua yupo mtu yukoje?

Kuna mengi hapo umedanganywa
giphy.gif
 
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
Achana na mke wa mtu acha ufala.
Awe anampa hela au asimpe hilo haikuhusu ,nyinyi ndo mkifumaniwa mkarawitiwa na kuchinjwa mnaanza kutia huruma za kipuuzi.
 
Mzinzi anataka kutiwa adabu huku
Sisi tumekaa paleee tunasubiri mrejesho

Hhhhhhhhhh dah kma namuona jamaa anavotaka kuhama mkoa
 
Mdoggo wangu naona umeingia mazima kwa kusikiliza one sided story. Utapigwa na kitu kizito soon.
 
Mkuu utawaacha WCB hv hv , mke wa mtu chenga , japo wake za watu wengi wameingia kwenye mahusiano ya ndoa Kwa tamaa , wake za watu hasa wa vibosire tena wenye nazo wanajirahsiaha Sana Kwa Sisi wahuni ....

Nisikuchoshe jombaaa ili ujitawale hakikisha wametengana rasmi Kwa talaka , hv hv utaishia segerea au wazee wa vilainishi wanakuhusu soon
Vipi Paula ume mshindwa
 
Kitendo cha huyo dada kuwa mke wa mtu haijalishi kama anateswa tayari keshakuwa haramu kwako. Na mpaka kuandika kwako uzi huu ni story ya upande mmoja tu uliyoisikia, upande wa mwanamke. Hawa viumbe wana uwezo wa kumfanya hata malaika awe mithili ya shetani. Kaa ujitafakari.

Na mpaka jamaa kuwa na ujasiri wa kumzaba makofi ukweni inamaanisha bado ni mume wake halisi. Na pia kudhihirisha kuwa wewe ni mwizi hapo ulishindwa hata kumtetea 'mpenzi' wako, kwa maana nyingine ni kama vile mlidundwa wote.

Umerudia rudia sana swala la pesa za jamaa, kuashiria kakuzidi kipato. Kwa nchi zetu hizi mwenye nazo ndio ana kauli. Jamaa anaweza kukufanyia kitu kibaya, akahonga na asifanywe chochote.

Ushauri wangu kwako, kama kweli mnapendana na yeye anateswa kwenye ndoa mwambie aombe talaka ili umchukue kilhalali kabisa. Uzuri kuna sheria zinazolinda wanandoa hasa wanawake linapokuja swala la kunyanyaswa. Tofauti na hapo, jamaa akikukuta na mkewe wewe utakuwa ni kama mvamizi tu na utakuja kuumizwa.
Sahihi kabisa
 
Ati mwanamke anakwambia alilazwa kwenye banda la mbwa ukweni, na wewe unamuamini[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona dalili za mtu kupoteza marinda yake yenye thamani kubwa
 
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
Kuwa makini aisee.....usipuuze hichi kitisho
 
Wacha ujuaji ww kula vyako kwa sasa basi ila kuleta ujuaji na kujifanya unajua kushauri ni uboya

Uyo ni mke wa mtu na alokueleza ni kwa upande wake na kakueleza kwa kujifanya yeye ni victim kwaiyo kula mzgo wako kwa sasa mengne mwachie yeye na mmewe
Badala ya kumtukana aachane na hilo penzi mfu, wewe unaendelea tu kumtia gea aendelee kusasambula!

Kwenye dhambi hiyo isiyokuhusu na wewe unajinasisha.
 
You are either very stupid or very brave, sijui nikiweke wapi. Mwanaume licha ya uhuni tunajua code zetu zikoje inapokuja kwenye suala la mke wa mtu, hata kma anakupa utamu wa malaika zinduka kutoka usingizini usipalilie janga.
 
Back
Top Bottom