Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Mkuu uanze kutembea na mafuta
 
Hajaamua kumuacha mume wake, eti imeshindikana, Hamna kitu ka hiyo.

We kama mnapendana mwambie aachane na mume wake kimaukweli ukweli,story za imeshindikana zisiwepo.

Hayo Mengine ni kweli au si kweli utajua mwenyewe mkishaingia kwenye ndoa,uzuri najua utatusimulia kwa thread ingine hata baada ya miaka mi 3 mbele.
 
Mkuu mwenye mke wake keshakujua chunga sana jicho ilo litaliwa kweli mke wa mtu sumu
 
Naunga mkono hoja, na kuendelea kuwasisitiza enyi Waume, wapendeni wake zenu!, Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!
Kuna type mbili za wanawake
1. Wanawake wanawake - hawa ni wanawake wa kawaida wazuri wa sura na maumbo. Type hii wanavutika kimapenzi kwa vitu vya Kuonekanika, pesa, gari, kazi, nyumba, dress code, umbo, performance etc, wanahitaji kupendwa na kuwa well taken care of, ukiwa neglected, likitokea jamaa lina care, atachepuka!. Hawa sio wanawake wa kuoa, hawa ni wanawake wa kustarehe.
2. Wanawake wake- wife materials, hawa wanavutika kwa vitu vya ndani moyoni ambavyo havionekaniki, uzuri wa Mwanamke wife material ni tabia, hata mume ukwame vipi, kamwe hawezi kuchepuka!. Hawa ndio wanawake wa kuoa.
Huyo Mwanamke kwenye story hii ni Mwanamke type 1.

P
 
Shida ya vijana wa sasa hivi social media zinawaharibu. Kila jambo analofanya lazima aelezee
Mwenye mke ameshajua. Hapo ndiyo patamu. Ngoja nitafute popocorn niangalie hii series
 

Utang’olewa korodani ndo utajielewa.
 
Kama ni mke wako kweli ameliwa, nenda kwenye PM ya mlaji mmalizane huko.
Haya makelele unayopiga hapa hayasaidii chochote.

Endapo unataka umma ujue ukweli basi andika upande wa pili wa story tuweke kwenye mizani.
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
 
We dogo umetembea namke wa mtu , unajipenda kweli? Na mume amekushtukia na yupo humu kaanzisha na thread, aisee nakusikitikia na nayasikitikia maisha yako.
BilioneaPATIGOO Hiyo amewapiga ni chai kitendo Cha kusema nalishwa na pesa za mwanamke teyari ni uongo cos huyo dada hata hela ya vocha yenyewe hapewi
 
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
Subiri nitakavyokufilimba mpumbavu wewe ndo utaelewa vizuri. Utahadithia wapumbavu wenzako wanaopenda kula vya watu.
 

Ongeza maji kupunguza ukali wa tangawizi halafu chemsha tena chai ipate moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…