Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Mkuu umeniwahi nilichotaka kuandika yote kwa yote upo sahihi sana mangi, aika mbee 🙏
 
Kwanza akaniambia yule Manzi hana furaha ya ndoa yake lakini Namshukuru Mungu nimekupata wewe (Ambaye ni Mimi) amefufua furaha ambayo ilipotea akasema Mumewe hata tu bando tu hampi, mlevi Sana akisharudi anaigwa kipigo Cha mbwa koko, hata zawadi yoyote ile hajawahi kuumpa kama ninavyofanya mimi, anamfanyia udhalilishaji mkubwa analeta michepuko na analala nao kwenye kitanda ambacho yeye na Mumewe wanalala wote, anapelekwa kwa mama mkwe wake anafanyishwa makazi mengi ingawa anaumwa na kulala kwenye banda la mbwa na Mumewe yote hayo anaona na anasapoti n.k


Kuna mengi hapo umedanganywa
 
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
Achana na mke wa mtu acha ufala.
Awe anampa hela au asimpe hilo haikuhusu ,nyinyi ndo mkifumaniwa mkarawitiwa na kuchinjwa mnaanza kutia huruma za kipuuzi.
 
Mzinzi anataka kutiwa adabu huku
Sisi tumekaa paleee tunasubiri mrejesho

Hhhhhhhhhh dah kma namuona jamaa anavotaka kuhama mkoa
 
Mdoggo wangu naona umeingia mazima kwa kusikiliza one sided story. Utapigwa na kitu kizito soon.
 
Vipi Paula ume mshindwa
 
Huwezi weka ndani chief lile ni bomu , Ila akifikisha 27 hajatotoa , atakuwa ameshapata akili kama Lulu nabatakuwa tayar kuwekwa ndani ...!!!
kama kuichakata ni rahisi sana wala sio kina kirefu
 
Sahihi kabisa
 
Ati mwanamke anakwambia alilazwa kwenye banda la mbwa ukweni, na wewe unamuamini[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona dalili za mtu kupoteza marinda yake yenye thamani kubwa
 
Huyo jamaa ni muongo Sana anasema mimi ni marioo sijui anampa hela mke huo ni uongo kwasababu huyo manzi hata hela ya vocha yenyewe hapewi kiufupi jamaa kaamua atumie uzi wangu kutafuta kiki
Kuwa makini aisee.....usipuuze hichi kitisho
 
Wacha ujuaji ww kula vyako kwa sasa basi ila kuleta ujuaji na kujifanya unajua kushauri ni uboya

Uyo ni mke wa mtu na alokueleza ni kwa upande wake na kakueleza kwa kujifanya yeye ni victim kwaiyo kula mzgo wako kwa sasa mengne mwachie yeye na mmewe
Badala ya kumtukana aachane na hilo penzi mfu, wewe unaendelea tu kumtia gea aendelee kusasambula!

Kwenye dhambi hiyo isiyokuhusu na wewe unajinasisha.
 
You are either very stupid or very brave, sijui nikiweke wapi. Mwanaume licha ya uhuni tunajua code zetu zikoje inapokuja kwenye suala la mke wa mtu, hata kma anakupa utamu wa malaika zinduka kutoka usingizini usipalilie janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…