Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

You are either very stupid or very brave, sijui nikiweke wapi. Mwanaume licha ya uhuni tunajua code zetu zikoje inapokuja kwenye suala la mke wa mtu, hata kma anakupa utamu wa malaika zinduka kutoka usingizini usipalilie janga.
May be very stupid itafaa hapa. Mwamba mpk anaalikwa kwenda nyumbani kwao na mumewe yupo, na anaenda.
 
Muone au ishi naye, utakuja na bandiko tofauti na hili.
 
Humu mwenyewe hakuna mwanaume wa hizo sofa ulizotaja humu asilimia 50 wamechanganyikiwa kichaa Chao hakijalipuka wapo kwenye hatua ya mwisho lakini😆😝😝 wao wapo kwenye pretending life soon wakishashindwa kulalana watasingizia ugonjwa Kumbe kashazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…