SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mkuu, Bila ya kudifine ni kuwapoteza wengine....Kuna kitu tunaita kwa kimombo 'Non-partisan' ni maarufu sana kwenye siasa za magharibu, ikiwa na maana kwenye vyombo kama vya ulinzi na usalama, vinatakiwa viwe na hii principle ya kutoegemea upande mmoja...
Ila ukiwa na vyombo kama hivi vimejipambanua kuwa CCM wazi wazi, hapo ndo nikashindwa kuvitofautisha na vyama vya kikomunist ambavyo vinatawala China na N.Korea.
Achana na habari ya ku define ukomunist kwa sasa, jibu ni kwamba mfumo wa CCM ume adopt muundo wa mifumo ya dola ya nchi za kikomunisti, ambayo kwayo, huwa wanataka kutawala kila kitu kwa ngazi zote..
Nadhani sasa umenielewa
Kwa wale wataotaka kuangalia shilingi upande mwingine Mtafute Theda Skocpol, States & Social Revolution kuna shehena huko au Milton Friedman nimejifunza mengi na hawa iamaa pamoja na kuwa kuna mengine yanaweza kuwa yamepitwa na Wakati.
Nakuelewa