Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Teh teh!!!binamu natamani ninngekua na mwandiko wako loohh!!!acha kabisaa
Mi naimani wewe in binti mnyenyekevu sana!
Anaonekana tu mnyenyekevu. Lakini zile dizaini usiingie kwenye 18 zake...lol
Teh nikikosea ntaomba msamaha hata mwaka, yani naomba msamaha zaidi ya maombi ya kazi. Ila kama sijakosea kwa kweli siombi msamaha hata iweje. Wanyaki tuna unyenyekevu, at the same time tuna pride, so inategemea tu side unayotaka kuniona nayo coz I simply go with the flow.
..'Simply go wit the Flow', sidhani kama nitataka kuona the other side of you π
That's my thing tho. Someone give me a long face, I make mine longer.