Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Teh teh!!!binamu natamani ninngekua na mwandiko wako loohh!!!acha kabisaa

Mi naimani wewe in binti mnyenyekevu sana!

Anaonekana tu mnyenyekevu. Lakini zile dizaini usiingie kwenye 18 zake...lol

Teh nikikosea ntaomba msamaha hata mwaka, yani naomba msamaha zaidi ya maombi ya kazi. Ila kama sijakosea kwa kweli siombi msamaha hata iweje. Wanyaki tuna unyenyekevu, at the same time tuna pride, so inategemea tu side unayotaka kuniona nayo coz I simply go with the flow.

..'Simply go wit the Flow', sidhani kama nitataka kuona the other side of you 😀
That's my thing tho. Someone give me a long face, I make mine longer.
 
Hehe T ake, wewe huwezi kutwa na my other side
 
Hahah!, T ake wewe tyena!

Umenikumbusha hapo pa Wanyaki na pride Naona mkiamua basi, mumeamua..😁

Nimependa sana hilo Andiko, linaendana na hili bandiko.
Haha yani kwetu tuna kautata hadi huwa naenjoy. Our brothers huwa wanatuambia, wao wamerelax tu as wana uhakika hakuna dada yao atakayenyanyasika kwenye ndoa teh
 
Teh nikikosea ntaomba msamaha hata mwaka, yani naomba msamaha zaidi ya maombi ya kazi. Ila kama sijakosea kwa kweli siombi msamaha hata iweje. Wanyaki tuna unyenyekevu, at the same time tuna pride, so inategemea tu side unayotaka kuniona nayo coz I simply go with the flow.
Hahaaa...Mimi kuna muda naomba msamaha even if I know I haven't done wrong etii...mradi tu amani ipatikane...nasemaga kwani shilingi ngapi!bassi nakuambia sorry!!

Sijui nikoje Mimi huwaga sipendi kinyongo moyoni
 
Anaonekana tu mnyenyekevu. Lakini zile dizaini usiingie kwenye 18 zake...lol

..'Simply go wit the Flow', sidhani kama nitataka kuona the other side of you 😀
That's my thing tho. Someone give me a long face, I make mine longer.
Hahaaa....unadata na biti.. Eti..ila nalendwa waonekana very humble loving and care ila una msimamo mnoo...

Uko vzr kujenga hoja napendaga tu muandiko wako nasomagaaa...najiskia raha!!
 
Hata Mimi sitamani aiseeh kuiona
Hehe T ake, wewe huwezi kutwa na my other side
Hahahaaaa...mtakutana na watata wenzenu mtachezea vipigo...
Hahaaa!utashuka tu,ngoja update mjanja wako hata akikosea we ndo utaomba msamaha
Haha yani kwetu tuna kautata hadi huwa naenjoy. Our brothers huwa wanatuambia, wao wamerelax tu as wana uhakika hakuna dada yao atakayenyanyasika kwenye ndoa teh
 
Teh upole ninao mbona, naonewaga kama zwazwa, siku unyaki ukiamka aiseeeeeeee
Hata Mimi sitamani aiseeh kuionaHahahaaaa...mtakutana na watata wenzenu mtachezea vipigo...
Hahaaa!utashuka tu,ngoja update mjanja wako hata akikosea we ndo utaomba msamaha
 
Hahaaa....unadata na biti.. Eti..ila nalendwa waonekana very humble loving and care ila una msimamo mnoo...

Uko vzr kujenga hoja napendaga tu muandiko wako nasomagaaa...najiskia raha!!

Aww!, thanks dear!

Am more humbled! 🙏😘❤

..And thankful kuwa na watu aina yako humu. 👍
 
Ukiona mtu anaomba msamaha kwa wote waliomkosea ujue anakaribia ku-RIP,farewell mkuu,salimia wote huko uendako
 
Back
Top Bottom