Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Una kazi mkuu mpaka ya kuangalia waliolike wengine ndio tunaingia sasa hivi na like tumeshatoa
Hahaaa...halafu hao ni kati ya wachache mnoo nnaowapenda nineandika ningejaza hapa sema mmechagua hao tu!!

Wapo kona hajar,karucee,mahondaw,yna na wengine wengi tu!!!hao wachache ni kama sampling tu!!!
 
Thanks bebe wamekusikia my dear...!!!hilo jina umelitaja yaani ndo lenyewee sasa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!

Mi hujawahi nikosea nakupenda sanaa!!!tusameheane haswaa!!!maisha mafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…