Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Una kazi mkuu mpaka ya kuangalia waliolike wengine ndio tunaingia sasa hivi na like tumeshatoa
Hahaaa...halafu hao ni kati ya wachache mnoo nnaowapenda nineandika ningejaza hapa sema mmechagua hao tu!!

Wapo kona hajar,karucee,mahondaw,yna na wengine wengi tu!!!hao wachache ni kama sampling tu!!!
 
Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure[emoji16][emoji16]kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale[emoji23][emoji23]woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...

Cc:members wote wa jf[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]muah muah,.tusikose tuu pati disemba[emoji6][emoji6]yay
Thanks bebe wamekusikia my dear...!!!hilo jina umelitaja yaani ndo lenyewee sasa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!

Mi hujawahi nikosea nakupenda sanaa!!!tusameheane haswaa!!!maisha mafupi
 
Back
Top Bottom