Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Mfyuuuuu😂😂😂naona unataka kukomfesiwa jioni hii...Achilia vyote mpaka na PM basi ,nikufate mtoto mzuri[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuuu😂😂😂naona unataka kukomfesiwa jioni hii...Achilia vyote mpaka na PM basi ,nikufate mtoto mzuri[emoji23]
Hahahahaa ama bad boy hahahah sisi huwa hatukonfesiwi [emoji1]Mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]naona unataka kukomfesiwa jioni hii...
Mfyuuuu😂bad boy utakuwa ww buana em hukooHahahahaa ama bad boy hahahah sisi huwa hatukonfesiwi [emoji1]
Ni mwendo wa Chapa ilale ,kwani mambo mazuri yako mbele!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiwe mimi niwe nani hahahaha mfyuuu zako weweMfyuuuu[emoji23]bad boy utakuwa ww buana em hukoo
Ila kwelii maana yule jamaa kipara ni bad boy kinoma-noma..😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiwe mimi niwe nani hahahaha mfyuuu zako wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]unaniacha njia panda sasaIla kwelii maana yule jamaa kipara ni bad boy kinoma-noma..[emoji23]
Baki hapo hapo ntarudi soon,.🏃🏃🏃[emoji23][emoji23][emoji23]unaniacha njia panda sasa
Uwiiii embu ning'ate sikioo maaana haaaa sijawah nyoa kipara banaBaki hapo hapo ntarudi soon,.[emoji125][emoji125][emoji125]
Mm ntakusaidia kupambana😁
Poa, ngoja nikitumwa na mkit, kununua pembejeo za kijiji nitafika hapo.Ukifika mwanza njooo kukupoa mjini kabisa
Hahaaa...halafu hao ni kati ya wachache mnoo nnaowapenda nineandika ningejaza hapa sema mmechagua hao tu!!Una kazi mkuu mpaka ya kuangalia waliolike wengine ndio tunaingia sasa hivi na like tumeshatoa
Babe wangu umenisamehe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks bebe wamekusikia my dear...!!!hilo jina umelitaja yaani ndo lenyewee sasa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure[emoji16][emoji16]kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale[emoji23][emoji23]woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...
Cc:members wote wa jf[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]muah muah,.tusikose tuu pati disemba[emoji6][emoji6]yay
wewe shunie kuna ishu 1huwa nawakumbuka nabaki kucheka...ahhh maisha haya