Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Jirani niko kitandani lakini wanaokula bata wote nje nipo kama vile nami nimeweka shida chini nanyanyua mikono juu ninabanjuka, hapa nasikia wimbo wa sakata dance unapigwa mda huu.
Jirani fanya tuonane bhanaa,
Mi nipo buckets hapa
 
Back
Top Bottom