Nimejitoa mitandao yote ya kijamii nimebakia JF tu.

Youtube ni bomba sana...Naweza kujifunza kitu chochote kwa sababu kuna tutorials za kila aina na documentaries murua..Nimejifunza kupiga kinanda kupitia youtube!
Mkuu umenifumbua macho ngoja na mimi nifuatilie jinsi ya kupga kinanda kupitia youtube
 

Nilifuta akaunti ya FB zaidi ya miaka 3 iliyopita.
 
Utoto huo alafu inaonekana unatumia vibaya sana unafanya kama ugali wenzio tunatumia just kama enjoyment tu! Muda kidogo tunarefresh bas ndomana hatuchoki fasta
 
Mzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.

Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...
 


Ulikuwa unajiuza huko mpaka ufikie kutukanwa au?
 
Fasibuku, Wasapu, Twita, Snapu chati,Insta, Jf, Bbm n.k huko kote nimo na sitegemei kutoka maana ndio kumenifanya niijue jF.
Vyote navipenda
Kwa nyie vijana kutoka sio rahisi mpake ujitathimini sana ..wamesha waprogramm .wanavesha wanavyotaka wao mitindo ya nywele kucheza we ushangai dunia nzima munachezeshwa style mmoja
 
Hata huku kuna jukwaa la wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…