Nimejitoa mitandao yote ya kijamii nimebakia JF tu.

Nimejitoa mitandao yote ya kijamii nimebakia JF tu.

Youtube ni bomba sana...Naweza kujifunza kitu chochote kwa sababu kuna tutorials za kila aina na documentaries murua..Nimejifunza kupiga kinanda kupitia youtube!
Mkuu umenifumbua macho ngoja na mimi nifuatilie jinsi ya kupga kinanda kupitia youtube
 
Nenda pale kweny FAQ andika "how to parmanent delete my account" watakupa options mbili either to deactivate or delete chagua delete but utasubiri 14 days ili account yako ifutwe kabisa so hizo siku 14 zote account yako itakuwa temporary deactivated in case you change your mind,na baada ya hizo siku 14 itakuwa ni parmanent.

Nilifuta akaunti ya FB zaidi ya miaka 3 iliyopita.
 
Utoto huo alafu inaonekana unatumia vibaya sana unafanya kama ugali wenzio tunatumia just kama enjoyment tu! Muda kidogo tunarefresh bas ndomana hatuchoki fasta
 
Mzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.

Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la maana zaidi ya mind programming za mzungu na ustarabu wa magharibi tu.
Picha za matusi ndio usiulize huwezi fungua page ya instagram bila picha za ovyo mambo ya ovyo ovyo.
Nimetathimini nimeona faida ni chache zaidi kuliko hasara, kwanza kwa kipindi chenyewe hiki ukienda ovyo unaweza ukajikuta upo nyuma ya nondo kwa ajili tu keyboards zako.
My only hope kwa sasa katika kujipatia habari za kidunia kwa maadili yanayoendana na ustaarabu wangu ni Jamii forum tu..
Nawakilisha.

Ulikuwa unajiuza huko mpaka ufikie kutukanwa au?
 
Fasibuku, Wasapu, Twita, Snapu chati,Insta, Jf, Bbm n.k huko kote nimo na sitegemei kutoka maana ndio kumenifanya niijue jF.
Vyote navipenda
Kwa nyie vijana kutoka sio rahisi mpake ujitathimini sana ..wamesha waprogramm .wanavesha wanavyotaka wao mitindo ya nywele kucheza we ushangai dunia nzima munachezeshwa style mmoja
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la maana zaidi ya mind programming za mzungu na ustarabu wa magharibi tu.
Picha za matusi ndio usiulize huwezi fungua page ya instagram bila picha za ovyo mambo ya ovyo ovyo.
Nimetathimini nimeona faida ni chache zaidi kuliko hasara, kwanza kwa kipindi chenyewe hiki ukienda ovyo unaweza ukajikuta upo nyuma ya nondo kwa ajili tu keyboards zako.
My only hope kwa sasa katika kujipatia habari za kidunia kwa maadili yanayoendana na ustaarabu wangu ni Jamii forum tu..
Nawakilisha.
Hata huku kuna jukwaa la wakubwa.
 
Back
Top Bottom