as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
njoo na taggedFasibuku, Wasapu, Twita, Snapu chati,Insta, Jf, Bbm n.k huko kote nimo na sitegemei kutoka maana ndio kumenifanya niijue jF.
Vyote navipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo na taggedFasibuku, Wasapu, Twita, Snapu chati,Insta, Jf, Bbm n.k huko kote nimo na sitegemei kutoka maana ndio kumenifanya niijue jF.
Vyote navipenda
Tagged ndio nini mm nimejiunga jana humu kutoka Fesibukunjoo na tagged
ukijiunga utajua tu, mwanzo mgumu mwisho mlainiTagged ndio nini mm nimejiunga jana humu kutoka Fesibuku
Mkuu umenifumbua macho ngoja na mimi nifuatilie jinsi ya kupga kinanda kupitia youtubeYoutube ni bomba sana...Naweza kujifunza kitu chochote kwa sababu kuna tutorials za kila aina na documentaries murua..Nimejifunza kupiga kinanda kupitia youtube!
Ahsante sanauk
ukijiunga utajua tu, mwanzo mgumu mwisho mlaini
Natumia jina gani?Nimeshakuona sana Insta
Nenda pale kweny FAQ andika "how to parmanent delete my account" watakupa options mbili either to deactivate or delete chagua delete but utasubiri 14 days ili account yako ifutwe kabisa so hizo siku 14 zote account yako itakuwa temporary deactivated in case you change your mind,na baada ya hizo siku 14 itakuwa ni parmanent.
Mkuu mimi nishakunasa tena wengi wa humu nimewanasa. Au nilianike hapa kila mtu alioneNatumia jina gani?
Sasa jamii forum sio mtandao wa kijamii? Maana umesema yote.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la maana zaidi ya mind programming za mzungu na ustarabu wa magharibi tu.
Picha za matusi ndio usiulize huwezi fungua page ya instagram bila picha za ovyo mambo ya ovyo ovyo.
Nimetathimini nimeona faida ni chache zaidi kuliko hasara, kwanza kwa kipindi chenyewe hiki ukienda ovyo unaweza ukajikuta upo nyuma ya nondo kwa ajili tu keyboards zako.
My only hope kwa sasa katika kujipatia habari za kidunia kwa maadili yanayoendana na ustaarabu wangu ni Jamii forum tu..
Nawakilisha.
Kwa nyie vijana kutoka sio rahisi mpake ujitathimini sana ..wamesha waprogramm .wanavesha wanavyotaka wao mitindo ya nywele kucheza we ushangai dunia nzima munachezeshwa style mmojaFasibuku, Wasapu, Twita, Snapu chati,Insta, Jf, Bbm n.k huko kote nimo na sitegemei kutoka maana ndio kumenifanya niijue jF.
Vyote navipenda
Huko majanga nyapu zinauzwa nje njenjoo badoo mkuu
Kidogo mange anaweza kufanya uwe natamaa ya kuingia IG but hata hapa habari zake zikiwa za maana unazipata tu.Mimi Jf na IG ndio natumia sana napo IG kwasababu ya Mange.
Hata huku kuna jukwaa la wakubwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.