Nimejiunga rasmi JF

Nimejiunga rasmi JF

Mmemshtukia mapema sana mbona angewagaragaza😂😂😂🤣🤣ila humu kuna mambo yanachekesha sana
Huyu wa kwetu huyu wala hatusumbui tushamzoe hivyo hivyo kesho anakuja na nyingine tutamdavila tena
 
Yaani utegemee mazuri yepi?. Wewe ujiulize utaitendea mazuri yepi Jf?.
 
Karibu.

Watu tuna depression humu usijaribu kujibizana na watu, jifunze kulet it go.

Kama wewe ni ME humu hamna demu wote ni mamen ata ukiona mtu anasema "jomon" ni tapeli. Kama wewe ni KE huku kuna gonorrhea.

Usitume nauli.
🤣🤣🤣🤣🤣Imekaa kikatili Sana
 
Back
Top Bottom