Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Sidhani kama atafanya hivyo.
Msomi, muelewa, anajitambuwa, hii platform na nyinginezo zatakiwa moderators wawe IMPARTIAL...
What wa waste of time, academicians and loss of knowledge from great thinkers!
Yote sababu ya UCHAWA? UJINGA? KUOGOPA MAONI YA RAIA?
Kwani hawatazami HOUSE OF COMMONS AU SENATE AU CONGRESS WATU WAKIBISHANA KWA HOJA?
KWANI LAZIMA TUPENDE MADA AU ILANI AU MATENDO YA CHAMA KIMOJA?
DEMOKRASIA YA AINA GANI HII?!
MWISHO WAKE UTAKUAJE?
UKIWAMINYA RAIA KAMA HIVI MWISHO UTAKUAJE KWA VIONGOZI WA NCHI?!
SAD DAY, SAD KUONA TUNAPOELEKEA...
Kwani yana mchango gani humu jukwaani zaidi ya kusifia ujinga..!!
Wapewe Life ban wakatulie, vibarua vyao vikipotea vya kuongea pumba wataona umuhimu wa JF..!!
 
Kwani yana mchango humu jukwaani zaidi ya kusifia ujinga..!!
Wapewe Life ban wakatulie, vibarua vyao vikipotea vya kuongea pumba wataona umuhimu wa JF..!!
Kweli kabsa Mkuu! Mfano Posts za Lucas Mwashambwa sijawahi kuona maana yake hata siku moja! Huyo alipaswa kupigwa ban ya maisha
 

Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Mkuu hongera sana sio rahisi mtu kuacha "power" ili kulinda integrity ya taasisi. Ulifanya enzi za JPM na sasa kwa awamu hii ya 6, this is consistency and focused Mungu atakulipa kwa ushujaa huu.
 
Naomba kujua madhara hasi ya uamuzi huu kwa upande wetu members, hususani Mimi na mwandani wangu ninayemmendea, Evelyn.
 
Kweli kabsa Mkuu! Mfano Posts za Lucas Mwashambwa sijawahi kuona maana yake yata siku moja! Huyo alipaswa kupigwa ban ya maisha
Ila wale wanaoandika matusi tu kwa Samia au jk, tena bila ushahidi wowote waungwe milele au sio?!!
 
Mungu akulinde Boss wa JF.
Chukua tahadhari ya hao jamaa wa Noah nyeusi,wasije kukuvizia
 
Back
Top Bottom