Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Kwamba ulikuwa unalipa tena ? Yaani hii Bodi ilikuwa pia a Cash Cow ? Au sio monetary Fee ?

Things are Falling Apart..., If not yet Fallen...
Hii line hata mimi nimeisoma mara mbili.
 
May powerful God ,strengthens you
Philippians 4:6
Psalms 143:9
 
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni jambo muhimu sana. Taarifa Binafsi zinatakiwa zilindwe. Unakua mjumbe wa tume ambayo haifanyi kazi yake ya Ulinzi vizuri sio sawa.

Heri tu uachane nao
 
Maxence Melo

Pole sana.

Hii habari imenikumbusha sana ulivyoshikiliwa siku zile za urais wa Kikwete tulivyowatafuta "Commitee to Protect Journalists" na Mwanakijiji wakaipigania kesi mpaka Max ukaachiwa.

Kikwete aliona nchi inapata too much negative press kimataifa.

It is so unfortunate that we are going backwards instead of moving forward.
 
Max piga life ban michawa yote na likija na id mpya fyeka, wakajambie kwenye page za veggies wenzao..!!
Sidhani kama atafanya hivyo.
Msomi, muelewa, anajitambuwa, hii platform na nyinginezo zatakiwa moderators wawe IMPARTIAL...
What wa waste of time, academicians and loss of knowledge from great thinkers!
Yote sababu ya UCHAWA? UJINGA? KUOGOPA MAONI YA RAIA?
Kwani hawatazami HOUSE OF COMMONS AU SENATE AU CONGRESS WATU WAKIBISHANA KWA HOJA?
KWANI LAZIMA TUPENDE MADA AU ILANI AU MATENDO YA CHAMA KIMOJA?
DEMOKRASIA YA AINA GANI HII?!
MWISHO WAKE UTAKUAJE?
UKIWAMINYA RAIA KAMA HIVI MWISHO UTAKUAJE KWA VIONGOZI WA NCHI?!
SAD DAY, SAD KUONA TUNAPOELEKEA...
 
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Walifikiri kwa kukusogeza karibu na ulaji, utakengeuka na kuwa msaliti wa wapigania haki wenzako! Baada ya kugundua wewe ni aina ya watu kama Tundu Lissu! Watu msio tetereka kwenye kupigania haki, usawa na uhuru; wakaona wavamie ofisi zako!

Binafsi naunga mkono huu msimamo wako wa kujiuzulu! Hakika wewe ni Ernesto Che Guevara wa kizazi cha sasa! Ungekuwa ni mtu wa kununulika, kitambo sana ungekuwa umenunuliwa na mafisadi na watawala wasio na nia njema na hii nchi yetu.

Hongera sana Mpambanaji wetu. 💪
 
Sidhani kama atafanya hivyo.
Msomi, muelewa, anajitambuwa, hii platform na nyinginezo zatakiwa moderators wawe IMPARTIAL...
What wa waste of time, academicians and loss of knowledge from great thinkers!
Yote sababu ya UCHAWA? UJINGA? KUOGOPA MAONI YA RAIA?
Kwani hawatazami HOUSE OF COMMONS AU SENATE AU CONGRESS WATU WAKIBISHANA KWA HOJA?
KWANI LAZIMA TUPENDE MADA AU ILANI AU MATENDO YA CHAMA KIMOJA?
DEMOKRASIA YA AINA GANI HII?!
MWISHO WAKE UTAKUAJE?
UKIWAMINYA RAIA KAMA HIVI MWISHO UTAKUAJE KWA VIONGOZI WA NCHI?!
SAD DAY, SAD KUONA TUNAPOELEKEA...
Sasa Mtu kama Lucas Mwashambwa Ana umuhimu gani hapa nawewe zaidi ya kububujikwa? Toka hapa
 
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Congratulations Brother, A good dancer knows when to leave the stage .
 
Back
Top Bottom