REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Piga hapo hapo kichwani bado wanafurukuta piga tenaHahaha, tutafika tu.
Naona huu ni mwanzo tu. Safari ndefu
Piga hapo hapo kichwani bado wanafurukuta piga tenaHahaha, tutafika tu.
Naona huu ni mwanzo tu. Safari ndefu
Kwamba ulikuwa unalipa tena ? Yaani hii Bodi ilikuwa pia a Cash Cow ? Au sio monetary Fee ?Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Kabisa jukwaa liwe kama WikiLeaks litishe kama ukoma kwa watawala matapeliNi muda sasa kwa tuliowahi kuhudumu/ tunaohudumu serikali vitengo nyeti kuanza kuvujisha taarifa kwa kasi zaidi ili huyu mama mjinga Samia afahamu hatupendezwi na utawala wake. Liwalo na liwe
Lucas msandambwa
Kwangu inaendaÑaona JF bila VPN haiendi
Kwa hiyo ukijitoa kwenye bodi ya ulinzi wa taarifa binafsi maana yake sasa hakuta kuwa na ulinzi tena wa taatifa binafsi?au
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.