Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Muoga endelea kuleta chuki kwa kujificha..
Kwa heshima na taadhima,wewe ni matackle mpauk

Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Muoga ,unabweka tu 😂😂Fungua Forum ya ukoo wenu wa panya
hii weekend balaaSielewi aisee. Mbona mambo mengi hii weekend
Kwa serikali za namna hii usingejiuzuli ningekushangaa au ningetegea ukiwa unaenda kwenu kwa njia ya barabara ukifika Ikungi tukunase na mtoto mzuri uishie hapo😢😢😢😢
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Jf nashauri iwe registered nje ya nchi,hapa ndani mtasumbuliwa sana
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Onesha sura yako kama mwanume kweli ,acha kusambaza chuki ..Jinga kasorobo wewe.Nenda kafie porini kule!Nyogulefu!
Sidhani kama umewahi kumiliki akili[emoji706]Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Mkuu komaa ndio sifa kuu ya mwanaume hata wakikuminya kende tunaomba usije ukatoa password tunakuweka kwenye maombi kuanzia sasa hao wapuuzi watashindwa tu.
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Kwa mwendo huu ni bora CHADEMA walivyoususia uchaguzi.Wangewaua wote hawa chama cha mambuzi.Hawa mbona Waoga
Ova
Kuna nyuzi ngapi humu zina chuki ? Jaribu kuangalia then uoneSio dini usitake kujifichia kwenye dini, ni kuwa rais hataki kusemwa.