Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,876
- 10,513
Itapendeza zaidi bendera ya JF ikiwa nusu mlingotiModerator TUWEKEEE NGUO NYEUSI YA JUKWAA KUONESHA MASIKITIKO

Sasa unatafuta hoja wakati ni ukweli mtupu ..Kwa sasa kuna mtandao unaosambaza chuki kuliko Jf ?hivi ume soma hata kichwa cha uzi?, mbona uko bitter Sana.
Kwa hiki kinacho endelea, sioni haja ya kumpaka matope bwana max.
Taasisi ndio iko hivyo, hatupokei hela.Kwamba ulikuwa unalipa tena ? Yaani hii Bodi ilikuwa pia a Cash Cow ? Au sio monetary Fee ?
Things are Falling Apart..., If not yet Fallen...
Leo mchana mkuuHii imetoka lini
Wanachokifanya viongozi kitawagharimu sana baadae. Kwa Sasa Wana kiburi sana! Tutakuwepo
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.

Wanaoruhusu chuki ni wanaokumbatia mafisadi na walafi wa rasilimali za nchi.Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Watu wenye integrity they never compromise in life...Mac you are a civilized person
Nilijua taarifa binafsi za JF. Umetisha mkuu, wewe ni hazina Kwa Taifa..👍🏽
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.
Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Pole uliekuja kulilia wanaume wenzio wafanye kile unapenda. Jikaze kiume.Muoga ,unabweka tu 😂😂
Atakuwa kama wao, yet he is a self respecting individual...Amefika hapo Kwa juhudi na siyo uchawa
Kumekucha nini? kumenucha kitu gani? tuwe sereous na coment, make hata watesi wanatuona hatunazoDah' aisee
Kumekuchaa teyari
MubyaziHahaha, tutafika tu.
Naona huu ni mwanzo tu. Safari ndefu