Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Acha porojo nina Id nyingi humu sio mgeni ...Kaa kwa kutulia tulikuwa na Max shimba hapa mpaka akafungiwa sijui ulikuwa bado uko kijijini kwenu?
Sio porojo, is a fact gov inaona jf kuna watu wanaichafua wafungue kesi, mbona sheria ziko wazi?

Ohhh max shimba? Kesi ya juzi juzi hapa 😂

Watu tupo humu wakati huo inaitwa jambo forums back then 2006 baadae wakachange jina to jamii 2008. Upo?

Bro kwa taarifa yako tu ni kuwa kua na id nyingi jf ni kutokujiamini, unaruka ruka kama popcorn ni dalili za utapeli
 
Chuki ni mbaya ,ule mtandao wa Twitter umekosa mvuto tangu waanze kuingia watu wa hovyo ....Wewe jaribu kufuatilia ,kuna mtu maudhui yake ni kukashifu wengine ,sasa ni privacy ya kulinda tena au kusambaza chuki.

Kama unaweza kufanya tathmini ,humu ndani kuna watu wameacha kutumia Jf kwa sababu ya nyuzi za kipumbavu...Wengine wanasamba habari za uongo mpaka jf walianzisha Jamii check so wakiwa wanahakiki inakuwa habari imesambaa muda mrefu.
Unaweza kuthibitisha Kwa idadi iki tujue watu ambao wameacha kutumia JF?
 
Jf kwangu ni zaidi ya nyumbani kama ikifungiwa siku 90's itakua ni maumivu kwa familia nzima ya watu AMBAO usiku na mchana tumekua humu ndani kama familia tukicheka,elimishana, burudishana, tukipeana pole, tukihabarishana, tukitaniana, tukisaidiana na kuijenga tanzania moja.

NB. Swali linalo bakia kwenye viunga vya akili yangu ni lini wale watu wanao SIFIA SANAAAAAA MPAKA KUPOTOSHA KULAGHAI , KATUFANYIA BULLYING WATANZANIA KWA PROPAGANDA, KEBEHI, DHARAU,DHIHAKA, UFEDHULI KAMA KINA THLAATLAH, CHIEMBE, LUCAS MWASHAMBWA,LUCHA, MTOTO WA SHULE , THE BIG SHOW na wengine wengi ambao huamua kwa makusudiiiii kuponda na kuchafua taswira ya Wana mabadiliko/ mageuzi hata viongozii wa chadema na tundu lissu aliye gerezani kwa uhaini wa mchongo JE kufanya hivyo kwao ni sawa?!

Namalizia na hii nahau ya wahenga wa zamanii.
Mkuki kwa nguruwe kwa BINADAMU MCHUNGUU.
Hao machawa wote wameshindwa ndo sababu ya kuweka mpira kwapwani
 
Sio porojo, is a fact gov inaona jf kuna watu wanaichafua wafungue kesi, mbona sheria ziko wazi?

Ohhh max shimba? Kesi ya juzi juzi hapa 😂

Watu tupo humu wakati huo inaitwa jambo forums back then 2006 baadae wakachange jina to jamii 2008. Upo?

Bro kwa taarifa yako tu ni kuwa kua na id nyingi jf ni kutokujiamini, unaruka ruka kama popcorn ni dalili za utapeli
Zaidi ya serikali ,jf imeharibiwa kama twitter ...Ni ujinga mtupu hta zile stori hamna kwa sasa...Yaani mtu maudhui yake ni kukejeli wengine kila siku kam hana kazi ya kufanya.

Max shimba ni moja ya waliosumbua ,nimekupa mfano nilikuwa huko nyuma ...Nilianza kuona ya hovyo miaka 2016 nikabadili ID .

Ninazo nyingi ,bahati mbaya situmii email halisi😂😂
 

Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Umefanya vyeme kaka max, hakukuwa na haja ya kuwepo kwenye baraza ambalo they dont stand kwa wanacho kihubiri.
 
Hawez ku control maoni ya watu, misingi ya kuanzishwa kwa jf (until kama umejiunga juzi) likikuwa ni kutoa maoni kwa uhuru

Kwa taarifa yako even whatsapp, telegram, instagram wamepitia kesi hiyo hiyo lakini wakashinda
Hawako obligated kuvujisha account za watumiaji unless kuna court order
Na hata Court order haifanyi kazi hapo
 
Jamiiforum inarudi kubwa ngangari zaidi sasa zinaanza kutumika seva za Netherlands
 
Unaweza kuthibitisha Kwa idadi iki tujue watu ambao wameacha kutumia JF?
Wengi sana ,kama utakuwa unafuatilia hata Twitter imeharibiwa kwa sana ...Huu mtandao ni mzuri ila wajinga wameuharibu ..Unajua kwa nn walianzisha jamii check?
 
JF haijaanza Leo kwanini isifungiwe juzi ...watu hawataki ukweli kipindi Cha uchaguzi
Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , h
 
Zaidi ya serikali ,jf imeharibiwa kama twitter ...Ni ujinga mtupu hta zile stori hamna kwa sasa...Yaani mtu maudhui yake ni kukejeli wengine kila siku kam hana kazi ya kufanya.

Max shimba ni moja ya waliosumbua ,nimekupa mfano nilikuwa huko nyuma ...Nilianza kuona ya hovyo miaka 2016 nikabadili ID .

Ninazo nyingi ,bahati mbaya situmii email halisi😂😂
Twitter haijabadilika sana, and wenzetu wana uhuru wa wazi kidogo is why walikuwa wana allow , watu wanaojoin ndio wenye shida si mtandao husika

Na uzuri ukihitaji kuna utaratibu wake
 

Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.

Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu. Natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume, na wajumbe wenzangu kwa ushirikiano mzuri walionipa katika kipindi chote.

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.
Finally na asante sana Maxence Melo.
 
Twitter haijabadilika sana, and wenzetu wana uhuru wa wazi kidogo is why walikuwa wana allow , watu wanaojoin ndio wenye shida si mtandao husika

Na uzuri ukihitaji kuna utaratibu wake
Twitter ilikuwa inasambazaporno za wazi kabisa ,tena watu hata Id zinajulikana ... Utasikia mida ya wakubwa ,wale influencers wakabanwa kende wote wakaa kimya .

Twitter imechangia sana kusambaa kwa video za utupu ...Nilitemana nayo kitambo ,haina hta kipya.
 
Back
Top Bottom