Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Na wewe ni fala siukaandike haya kwenye mtandao wa mama enu, mkishalipwa 7k mnaonaga wengine hawastaili kutoa mawazo yao

Hata hivyo nibusara kubwa umetumia hadi kuweka chapisho hili. Kuna mambo yanaudhi kupita kiasi wafunge na social media zote sasa. Kwn wewe ndo unatutuma tuweke mawazo yetu humu?
 
Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Kama unakeleka si utoke ili usiwe unaona ayo mambo
 
Na wewe ni fala siukaandike haya kwenye mtandao wa mama enu, mkishalipwa 7k mnaonaga wengine hawastaili kutoa mawazo yao
Chuki ni mbaya ,ule mtandao wa Twitter umekosa mvuto tangu waanze kuingia watu wa hovyo ....Wewe jaribu kufuatilia ,kuna mtu maudhui yake ni kukashifu wengine ,sasa ni privacy ya kulinda tena au kusambaza chuki.

Kama unaweza kufanya tathmini ,humu ndani kuna watu wameacha kutumia Jf kwa sababu ya nyuzi za kipumbavu...Wengine wanasamba habari za uongo mpaka jf walianzisha Jamii check so wakiwa wanahakiki inakuwa habari imesambaa muda mrefu.
 
IDI AMIN MAMA AT HER BEST
CB60B094-1FA7-454F-94E5-0D1908FB6609.png
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Vapper Tech Limited (Jamii Forums) Maxence Melo ametangaza kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi aliyohudumu kwa takribani miaka miwili

Kupitia mitandao yake binafsi ya kijamii Maxence Melo amechapisha taarifa hiyo akieleza kuwa leo, Jumamosi Septemba 06.2025 amemuandikia rasmi barua Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wake huo

"Niliteuliwa Desemba 18.2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu, natoa shukrani nyingi kwa Wizara, Tume na Wajumbe wenzangu kwa ushirikiano nzuri walionipa kwa kipindi chote" -Maxence Melo

Aidha, kupitia taarifa hiyo Maxence Melo ameishukuru taasi yake na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wake katika vikao vyote na shughuli za tume kwa takribani kwa takribani miaka miwili

Ingawa hajaeleza sababu za kufikia uamuzi huo, lakini kujiuzulu kwake kunakuja muda mfupi tu tangu Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) itangaze kusitisha kwa muda wa siku tisini leseni ya huduma za maudhui mtandaoni iliyotolewa kwa taasisi yake aanayoiongoza ya Vapper Tech Limited (Jamii Forums) kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kukiuka kanuni za maudhui mtandaoni za mwaka 2020 na marekebisho yake ya mwaka 2022 na 2025.
Credit @jambotv
 
Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?
Hawez ku control maoni ya watu, misingi ya kuanzishwa kwa jf (until kama umejiunga juzi) likikuwa ni kutoa maoni kwa uhuru

Kwa taarifa yako even whatsapp, telegram, instagram wamepitia kesi hiyo hiyo lakini wakashinda
Hawako obligated kuvujisha account za watumiaji unless kuna court order
 
Hongera sana mkuu Melo kwa uamuzi wa kishujaa. Hii ni serikali ya hovyo kuwahi kutokea nchini.

Tuna vyombo vya ulinzi na usalama dhaifu sana katika kulinda maslahi ya umma na imara sana katika kuteka na kuua wakosoaji wa wezi wa rasilimali za nchi.
 
Hawez ku control maoni ya watu, misingi ya kuanzishwa kwa jf (until kama umejiunga juzi) likikuwa ni kutoa maoni kwa uhuru

Kwa taarifa yako even whatsapp, telegram, instagram wamepitia kesi hiyo hiyo lakini wakashinda
Hawako obligated kuvujisha account za watumiaji unless kuna court order
Acha porojo nina Id nyingi humu sio mgeni ...Kaa kwa kutulia tulikuwa na Max shimba hapa mpaka akafungiwa sijui ulikuwa bado uko kijijini kwenu?
 
Back
Top Bottom