Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Bila VPN JamiiForums inasumbuwa!
Haya mama Abdul na genge laki, endelea kutunyima haki za kujieleza!
YANA MWISHO HAYA...
😢😢😢😢😢
 
Kwanini umejiuzulu?

Hiyo si ndio ingekuwa Platform nzuri ya kupeleka malalamiko yako kama unaona umeonewa??

Just thinking.
 
Max ni kama umechukua uamuzi wa haraka bila ya kuwa na utulivu, naamini ungeweza kutumia platform hiyohiyo kuwaelewesha wahusika nini ni nini naamini kuna mahala mngefika.

Sidhani kama maamuzi uliyochukua yalikuwa na utulivu na sio panic na kujaribu kufight back yaliyotokea.

Safarini Tandika Tanzania.
 
Siasa inaharibu Professions za watu na michango yao hapa nchini, Wanasiasa wana nguvu kuliko watu muhimu sana wa Teknolojia, Afya, Elimu, Kilimo n.k

Only in Tanganyika.

La haula🤣🤣🤣🤣
 
Pole sana kwa yote haya JF inapitia na wewe kama Mkurugenzi wake.

It's so sad nchi inapita katika hii trajectory upande wa uhuru wa habari, Haki, usawa wa kidemokrasia nk.

We encourage you to stay focused while at the same time take all precaution about your safety, it's a matter of time everything will be fine.

Nyakati ngumu hazidumu hata kidogo, tutatoka tukiwa washindi hata kama ni kwa maumivu makubwa na kupoteza sana.
zitadumu sana kwa akili zetu hizi
 
Max ni kama umechukua uamuzi wa haraka bila ya kuwa na utulivu, naamini ungeweza kutumia platform hiyohiyo kuwaelewesha wahusika nini ni nini naamini kuna mahala mngefika.

Sidhani kama maamuzi uliyochukua yalikuwa na utulivu na sio panic na kujaribu kufight back yaliyotokea.

Safarini Tandika Tanzania.
U never know imehappen for how many times brother....some things are so disgusting at times🤣
 
Mkuu naamini upo sahihi katikahilo wakati mwingine kuto kukubariana kuungana na uovu ni Jambo jema japo UTA dharaulika kwa mda wenye haki wakishika usukani wata kukumbuka kwa hili
 
Max ni kama umechukua uamuzi wa haraka bila ya kuwa na utulivu, naamini ungeweza kutumia platform hiyohiyo kuwaelewesha wahusika nini ni nini naamini kuna mahala mngefika.

Sidhani kama maamuzi uliyochukua yalikuwa na utulivu na sio panic na kujaribu kufight back yaliyotokea.

Safarini Tandika Tanzania.
Kuwaelewesha kitu gani ambacho hawakijui?
 
Hahaha, tutafika tu.

Naona huu ni mwanzo tu. Safari ndefu
We ni mtu na nusu ila mwenzio napata usumbufu kila siku napokea Malalamiko kutoka kwa mashabiki zangu hapa jf juu ya wewe kuto-reply comments zangu 😅🤣😂😂😂😅
 
Kataa wahuni, bora kusimamia haki..!!
Umefanya vizuri sana Kaka Max na hii ilitakiwa kwa wengine wote ambao wanaona jahazi linaenda mrama…!!
 
Back
Top Bottom