Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Kwani yana mchango gani humu jukwaani zaidi ya kusifia ujinga..!!
Wapewe Life ban wakatulie, vibarua vyao vikipotea vya kuongea pumba wataona umuhimu wa JF..!!
 
Kwani yana mchango humu jukwaani zaidi ya kusifia ujinga..!!
Wapewe Life ban wakatulie, vibarua vyao vikipotea vya kuongea pumba wataona umuhimu wa JF..!!
Kweli kabsa Mkuu! Mfano Posts za Lucas Mwashambwa sijawahi kuona maana yake hata siku moja! Huyo alipaswa kupigwa ban ya maisha
 
Mkuu hongera sana sio rahisi mtu kuacha "power" ili kulinda integrity ya taasisi. Ulifanya enzi za JPM na sasa kwa awamu hii ya 6, this is consistency and focused Mungu atakulipa kwa ushujaa huu.
 
Naomba kujua madhara hasi ya uamuzi huu kwa upande wetu members, hususani Mimi na mwandani wangu ninayemmendea, Evelyn.
 
Kweli kabsa Mkuu! Mfano Posts za Lucas Mwashambwa sijawahi kuona maana yake yata siku moja! Huyo alipaswa kupigwa ban ya maisha
Ila wale wanaoandika matusi tu kwa Samia au jk, tena bila ushahidi wowote waungwe milele au sio?!!
 
Mungu akulinde Boss wa JF.
Chukua tahadhari ya hao jamaa wa Noah nyeusi,wasije kukuvizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…