Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Uache kuruhusu chuki humu , wanaosambaza chuki wajulikane sio kujificha . Mtu mwingine akiamka tu ni kukashifu dini fulani au walimu hana cha maana ;acha kuwaficha wahuni kama hao , hauoni Mtandao wako unaweza kuleta madhara zaidi?

Kusema waalimu wanalipwa mishahara kidunchu ni kuruhusu chuki

Au kusema Dini fulani katika kipengele fulani ni ya hovyo ni kusambaza chuki?
 
Kwa serikali za namna hii usingejiuzuli ningekushangaa au ningetegea ukiwa unaenda kwenu kwa njia ya barabara ukifika Ikungi tukunase na mtoto mzuri uishie hapo😢😢😢😢
 
Jf nashauri iwe registered nje ya nchi,hapa ndani mtasumbuliwa sana
 
Ukipewa ujumbe sijui matakataka gani huko ukiwa na kazi zako achana nazo mkuu ni kutaka uwe sehemu ya waiba keki ya Taifa wakati unasikia harufu ya keki kwa mbaali sana na ufanye kazi kwa kufuata maelekezo ya kipuuzi.
 
Mkuu komaa ndio sifa kuu ya mwanaume hata wakikuminya kende tunaomba usije ukatoa password tunakuweka kwenye maombi kuanzia sasa hao wapuuzi watashindwa tu.
 
Kwenye mambo ya kulinda masilahi ya kitambi Siri kali hainaga rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…