Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

K
Nakushambulia/tunakushambulia kwa kuyaanika maisha yako nje ya Jf huku.
Mmepewa vifua sio vya kuhifadhia mada jukwaa la siasa.
Mmepewa pia mpambane na changamoto kama hizo.

Eti utajuta.
We mpaka umri huo hujui filters zinafananaje?
Hujui kutofautisha kati ya halisi na copy
Kiu madame,unakuta ganzi mpaka kwenye unyayo!!!!
 
Inategemeana mkuu ,usitafute mwenye likes nyingi,kuna mtoto mzuri yupo fb ,page yake ni ya kawaida tu ,hana marafiki wengi ,nilimtongoza akaja home ,duuh alikuwa mzuri kuliko hata kule fb,mpaka Leo huwa nakula,nimepanga baadae awe mke mdogo ,she is very loyal
 
Eti mke mdogoo...ni utachapiwa hadi akili ikukae sawa
 
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!

Eti huyu ni Linah,jaman!!!

Pole sana
 
Back
Top Bottom