Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Mimi ujanja wangu kwa mwanaume ambaye simjui tukipanga tuonane nakuwaga simple tu.
Ila pamba nizakweli.
Nawengi ninao kutana nao ni mahandsome kama alikiba hivi au star wa movie marekani napewa mlo hadi na saza.
Naenjoy huwa sanaaa.
Kweli nasema
Kabisa.
Jf kuna wakaka smart, wazuri, wanapesa na sio wabahili.
Hivi vitoto vya chuo kupakazana shombo tu
 
Kabisa.
Jf kuna wakaka smart, wazuri, wanapesa na sio wabahili.
Hivi vitoto vya chuo kupakazana shombo tu
Eeeh kuna watu wastarabu humu huwezi hata amini but matured one, workaholic, hao hawana shida!

Kutana na jobless, stress za stone utajuuuta mdada[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eeeh kuna watu wastarabu humu huwezi hata amini but matured one, workaholic, hao hawana shida!

Kutana na jobless, stress za stone utajuuuta mdada[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu.
Utajuta hata kilichofanya ukutane nae
 
Mimi ujanja wangu kwa mwanaume ambaye simjui tukipanga tuonane nakuwaga simple tu.
Ila pamba nizakweli.
Nawengi ninao kutana nao ni mahandsome kama alikiba hivi au star wa movie marekani napewa mlo hadi na saza.
Naenjoy huwa sanaaa.
Kweli nasema
Sasa Alikiba ni handsome?

Hujakutana na ma HB wewe
 
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!

Eti huyu ni Linah,jaman!!!
Mkuu nimecheka sana na hii thread yako,ila pole kwa mana huo ulokukuta wew ni mtihani.
Video call muhimu unapokua ushajenga mazoea unaweza kuja kutana na mtu ukafkiri jini.
 
Basi una damu mbaya mkuu.
Hii ndo mada yako ya kwanza MMU ila ndo kwako imekuwa kama fimbo ya kukuchapia.
Tuzoee tu.
Sisi ndo maua yenu hapa duniani
Hahahaaaaaa,sawa madame
 
Mimi ujanja wangu kwa mwanaume ambaye simjui tukipanga tuonane nakuwaga simple tu.
Ila pamba nizakweli.
Nawengi ninao kutana nao ni mahandsome kama alikiba hivi au star wa movie marekani napewa mlo hadi na saza.
Naenjoy huwa sanaaa.
Kweli nasema
Hahaaaaaa,basi utakuwa katoto kazuri haswaaa!
 
Kabisa.
Jf kuna wakaka smart, wazuri, wanapesa na sio wabahili.
Hivi vitoto vya chuo kupakazana shombo tu
Vkipata boom vinahonga kweli kweli,nakumbuka nilikuwa naanza kusoma boom likikata
 
Back
Top Bottom