Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Kweli tena,tokea 2014 sijawahi kuandika MMU!Na si kila linalotokea kwenye mahusiano yangu huwa naandika,hii nimeandika tu maana mtu mwenyewe tumeonana mara moja tu!!!Wanawake nawaheshimu sana tu,so msinijudge kwa hili!
Basi una damu mbaya mkuu.
Hii ndo mada yako ya kwanza MMU ila ndo kwako imekuwa kama fimbo ya kukuchapia.
Tuzoee tu.
Sisi ndo maua yenu hapa duniani
 
na nyie wanaume wa shoshomidia mpo sana ambao picha na mtu halis ni vitu viwili tofauti so msikae kutusakama kila siku[emoji108] kwnza pic bila filters hainogi esp snapcht filters[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kina dada wanadanya kwa picha sie kina kaka tunadanya kwa kipato full kuazima magari na kutupia picha tukijifanya tuko vizuri kumbe daaah
Ukiwa muongo utakutana na waongo wenzio so usilalamike sana mkuu
 
Sikweli mtu unampa moyo wote na attention halafu kumbe halaula kazi ipo kumbe umeangukia kuleee kushoto😈😈😈😈
Ila inauma sana.
Mdada unatoka unaulamba na makeup yako, halafu unarudishwa.
Hapana kwa kweli.
Na sie tukomage sa zingine
 
Yaani humu wanaume kila kukicha ni mada za wanawake tuuuuu.
Kutafuta pesa hawataki...kazi kujadili huyu yupo hivi au vile.

Kwa kweli bora tu amejificha nyuma ya kivuli cha Id fake, huenda tungemjua, tungemshusha thamani
Si ajabu waweza kuficha simu baada ya kumuona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]
 
Ila inauma sana.
Mdada unatoka unaulamba na makeup yako, halafu unarudishwa.
Hapana kwa kweli.
Na sie tukomage sa zingine
Mimi ujanja wangu kwa mwanaume ambaye simjui tukipanga tuonane nakuwaga simple tu.
Ila pamba nizakweli.
Nawengi ninao kutana nao ni mahandsome kama alikiba hivi au star wa movie marekani napewa mlo hadi na saza.
Naenjoy huwa sanaaa.
Kweli nasema
 
Back
Top Bottom