Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Katika pitapita yako najua hujawahi kukutana na ID yangu MMU,unadhani ni kwanini?
Wengine tukipata free time ndio twaja,nadhani huu ndio uzi wangu wa kwanza jukwaa la MMU toka nijiunge JF jan 2014!
Hapo awali nilikuwa msomaji tu kwa takribani miaka miwili ndio nikasijali!
So dont judge,simply kwasababu nimeshare experience niliyoipata jana!!!!Pengine kuja kuandika MMU inaweza isitokee tena,ni by chance tu!!!!!
Usiache bhana.

Ukitake mambo serious, utapasuka msamba.
Hapa tunapambana na wakaka wanaojiona akina mr perfect
Relax, maisha mafupi haya bro
 
Nipe hyo offer ole wako uje unianzishie Uzi JF cha moto utakiona
Mama siwezi fanya hivyo,najua weww ndio utakuja kusema humu kuwa yule kaka kumbe ni gentlemen!!
 
Usiache bhana.

Ukitake mambo serious, utapasuka msamba.
Hapa tunapambana na wakaka wanaojiona akina mr perfect
Relax, maisha mafupi haya bro
Kweli tena,tokea 2014 sijawahi kuandika MMU!Na si kila linalotokea kwenye mahusiano yangu huwa naandika,hii nimeandika tu maana mtu mwenyewe tumeonana mara moja tu!!!Wanawake nawaheshimu sana tu,so msinijudge kwa hili!
 
Aah hata usiseme mkuu , nilikutana na demu fb jina zuri na picha anazopost ni mzur balaa

Sku nikapanga kukutana nae lodge moja maeneo ya ilala daah sikuamin aisee hapo hapo nikampiga bonge la dharura na nilimpa buku mbili kama nauli

Yaan hadi leo nikikumbuka ile sku nacheka mno
alikuaje?
 
Back
Top Bottom