Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee ndio hujanielewa.Hujaelewa,unaposema sijui mambo yako unaleta humu jamvini,ndio nakuuliza hivyo!Unataka jukwaa hili kiwekwe kitu gani?Mbona kama tunaongea lugha 2 tofauti?
OhhhNipo mkoani kimajukumu. Sidhani kama kwa tarehe hiyo nitakuwepo Dar. Ila in case it happens nipo Dar, then nitajumuika nanyi!
Yani picha zinasambaa humu huku wengine tuna ndugu had wazazi wanaperuzi JF si hatari hyoHahahhaha
Unashangaa tu picha zako ziko public.
Humu kuna wanaume wa hovyo sana
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!
Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!
Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!
Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!
Wadada punguzeni filters!
Eti huyu ni Linah,jaman!!!
NDIO...wanaotumia mkorogo wananuka K.Ungekuwa umekua ungewaambia wanawake wenzako wananuka k
Unarudisha mpira kwa kipa.We mwenyewe ukifuatilia trend umewadhalilisha wanawake wenzako sana tu,watu tukawa tunacheki tu!
Hatari kabisaYani picha zinasambaa humu huku wengine tuna ndugu had wazazi wanaperuzi JF si hatari hyo
Basi tuliaSawa,sijataka ukasome ila nilikuwa nakuelewesha why siwezi kujiidentify!!!!!Wala sijataka ukajibu kule!
HahahahabababahKwahiyo ulitaka mimi nimvumilie mnuka K
Basi....Hali yangu nilipambana nayo toka jana,ndio maana nikaleta mrejesho!
Wamejichomea yaani utasema mjusi aliyepigwa na jua kalala kichwa chini tumbo juuNdio hivo.
Tuishi nao kwa akili.
Wakitutaka, tukiwakataa watatusema na tukiwakubali wanatusema pia.
Sijui huwa wanatakaga nini hawa viumbe
Yani hatari mbona si huwa hatuwaanzishii nyuzi za kuwazalilisha kweli wanaume wanahesabikaHatari kabisa
Ila ile thread ilikuwa ina guest wengi sijapata ona.
Ila wanaume wa humu Jf baadhi hawajielewi hataaaaaa.
Wa hovyo hovyo tu muda wote
Hapana,ila mimi na mwenye mkorogo tofauti!Sikujua kama wananuka k,ukiongezea na hilo(kama ni kweli) basi najipongeza kwa kusepq!Sasa nashangaa unanishambulia!Hahahahabababah
Hahahahahhahah
Hahahahhahahaaaaajajajahajaja
Ulimnusa?
Hahahahahahahaj
Ulisema hukutaka hata kumsogelea, umejuaje ana harufu?
Ndio maana Mzigua90 alisema si mikorogo yote ina harufu.
Kama alipaka Obagi je....
Hahahahjajajanajaj