Wengi wa watumiaji wa social media ukiona kataka mawasiliano na wewe Ujue kashakutamani kimapenzi,kashakutaka kimapenzi either kwa maandishi yako humu JF au threads au comments au Picha kule instagram.
.
sasa mnapopanga siku mkutane viwanaume wengi sana hua na lengo la kutoa ya moyoni hapo ni baada ya kua marafiki hata kwa mwaka bila kuonana,sasa mwsho ndio mtu anataka kukuona akutongoze live au akazie ombi lake kama alishawahi kukupa.
.
Wanaume wanaokua na mawazo hayo ya kwenda kukutana na mwanamke kuongelea mambo ya mapenzi kutongozana ndio 81% Tunaongoza kwa kuwakimbia hao wadada wanaotokea na muonekano negative na fikra zetu zilivyowaza.
.
Ukiona umekimbiwa ewe dada au umezimiwa simu jua ulikua unatakwa kimapenzi,wakati mwingine muwe mnamshukuru mungu cause mwanaume huyo alokukimbia hata ungekua mzuri vipi akishakuonja hua automatically taste huisha na Atakukimbia tena tu.
.
so mnapokimbiwa mshukuruni mungu kwan n shetan kawakimbia,msipende kuangalia kukimbiwa kama tatzo angalieni na faida zake pia,maana kuna faida nyingi kuliko hasara.
.
Real man Hakukimbii,mwanaume mwenye moyo haku block akiona hujakidhi vigezo akili yake ina badilisha tu MADA kama nlikuja na Mada ya kumtongoza Madam,nkimwona akawa mbovu mbovu yani story ntazoanzisha n nyingineeeeeeeee hamna kutongozana tena.